Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

I met my girl tukiwa both at 20yrs old hapo ndio tumetoka kumaliza form 6..I married her tukiwa 26yrs miaka miaka 2 baada ya kumaliza chuo..Hatukua na kaz wote but tulikua tunaendana kwenye mambo mengi sanaa.Mnakaa chin mnapanga plan zinaenda cz mnayatazama maisha katika same perspective..Mimi na yeye tuko 34 with 4 kids first born akiwa already secondary....oa mshkaji wako..sio mambo ya kuoa mtu sawa na mwanao au mdogo ako wa mwisho huko ndio maana hata mawifi zake wanapata guts za kumtingisha [emoji23].

Anyway ,sio kila kina workout kwa mtu flan bas lazima ki apply kwa mwingine pia...Kila mtu afanye anachotaka
very interesting mkuu, kuoa same age hata hulka zenu zinakuwa sawa, malengo aina ya marafiki choices zenu elimu n.k.. na mimi story yangu uenda ikawa kama ya kwako nikifanikiwa kufunga ndoa next year! sema nimemempita miaka 3 lakini almost naona tuko same..!
 
very interesting mkuu, kuoa same age hata hulka zenu zinakuwa sawa, malengo aina ya mariki choices zenu elimu n.k.. na mimi story yangu uenda ikawa kama ya kwako nikifanikiwa kufunga ndoa next year! sema nimemempita miaka 3 lakini almost naona tuko same..!
All the best mkuu.Wanasema za kuambiwa changanya za kwako.Sasa vijana wengi wanabeba tuu..

Wazee wa zaman walikua na sababu zao za kuoa wanawake umri sawa na watoto wao.Sababu ambazo ni tofaut sana na wakat tulio nao sasa.Moja ya sababu ni life span/expactancy yetu na wao ni tofaut kabisaa
 
Haya mambo wakati mwingine Mungu tu ndo anaingilia kati.
Kwa umri wangu huu na nilivyochelewa kuoa mpaka nakuja kugutuka isingekuwa rahisi kumpata age mate wa kumuoa asiyekuwa frustrated. Zaidi tu ningeangukia labda kwa li single mama!!
Lakini namshukuru Mungu nimeopoa mke naemzidi 16+ yrs ana akili za maisha ananipenda.
Mwanzo nilipata tabu kwendana nae lakini sahzi tume mingle fresh na is a good mother to my two kids na sitaki kumzalisha sana. Siku zote namuona kama ua macho pangu na hunifanya nijione as if kuzeeka itachukua muda sana!
 
Tamaa
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.

Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.

Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.

Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba alikosea kufanya huo uamuzi hasa ukizingatia yeye bado kijana ambae huvutiwa bado na mabinti wenye muonekano wa ujana bila make up, ambao wengi ni chini ya miaka 32.

Muda huu ni ngumu hata kwa Recho kuzaa na kuzaa akiwa na miaka 41 na kuanza kulea watoto, ule umri mzuri wa kuzaa ushampita, hivyo inakuwa kizuizi hata kwa Fred.

Pia wote kwa pamoja wapo katika hatari ya magonjwa nyemelezi ya miaka ya 40 kama kisukari, homa ya ini, presha, n.k.

Tamaa tu, ana miaka 42 anavutiwa na mabinti wa mike 30, kwa hiyo kama alioa na miaka 27 anapaswa aoe mtoto wa miaka 17.

Umri mzuri wa kupishana ni kati ya miaka 2 hadi mitano, reasonable, cha Muhimu, ni kuacha tu tamaa.

Hata babu wa miaka 76 anavutiwa na binti wa miaka 25, issue ni nidhamu na kujua kwamba mda umekutupa mkono.
 
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.

Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.

Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.

Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba alikosea kufanya huo uamuzi hasa ukizingatia yeye bado kijana ambae huvutiwa bado na mabinti wenye muonekano wa ujana bila make up, ambao wengi ni chini ya miaka 32.

Muda huu ni ngumu hata kwa Recho kuzaa na kuzaa akiwa na miaka 41 na kuanza kulea watoto, ule umri mzuri wa kuzaa ushampita, hivyo inakuwa kizuizi hata kwa Fred.

Pia wote kwa pamoja wapo katika hatari ya magonjwa nyemelezi ya miaka ya 40 kama kisukari, homa ya ini, presha, n.k.
Hapa nimepata jibu kwanini mtume alioa binti wa miaka 9.
 
very interesting mkuu, kuoa same age hata hulka zenu zinakuwa sawa, malengo aina ya mariki choices zenu elimu n.k.. na mimi story yangu uenda ikawa kama ya kwako nikifanikiwa kufunga ndoa next year! sema nimemempita miaka 3 lakini almost naona tuko same..!
Huyo bado ni rika lako. I'm wishing you all the best.
 
I met my girl tukiwa both at 20yrs old hapo ndio tumetoka kumaliza form 6..I married her tukiwa 26yrs miaka miaka 2 baada ya kumaliza chuo..Hatukua na kaz wote but tulikua tunaendana kwenye mambo mengi sanaa.Mnakaa chin mnapanga plan zinaenda cz mnayatazama maisha katika same perspective..Mimi na yeye tuko 34 with 4 kids first born akiwa already secondary....oa mshkaji wako..sio mambo ya kuoa mtu sawa na mwanao au mdogo ako wa mwisho huko ndio maana hata mawifi zake wanapata guts za kumtingisha 😂.

Anyway ,sio kila kina workout kwa mtu flan bas lazima ki apply kwa mwingine pia...Kila mtu afanye anachotaka
Anyway hii ni great motivation na inastahili kongole je mlipata mtoto mkiwa bado chuo? maana nikirudi kwenye uhalisia sijui ni typing error au miscalculations ila numbers don't lie hapa kuna takwimu hazi-add up
 
Mwanamke mkilingana, hata stories zenu zinafanana. Marafiki wanakuwa agemates, mnakumbushiana habari za Amina Chifupa alipokuwa Clouds FM au Akina Daz Baba wakati anasoma Azania. Sasa wewe ulizaliwa 1985 unaona dada wa 2001 utapiga naye story gani wakati wa usiku??
Utamsimulia story za Akili akilii wa TBC
 
Bado mnajiuliza ni kwa nini babu zetu walikua wanaoa mke zaidi ya mmoja, majibu yake ndio hayo, huyo aliyefikisha 40 unampandisha cheo, then unamtafutia msaidizi mwenye 30 years, mmoja anakuwa manager mwingine CEO familia inastawi vyema kabisa
 
Anyway hii ni great motivation na inastahili kongole je mlipata mtoto mkiwa bado chuo? maana nikirudi kwenye uhalisia sijui ni typing error au miscalculations ila numbers don't lie hapa kuna takwimu hazi-add up
Mwaka wa kwanza tu braza..2011 august tulizaa mtoto wa kwanza ..😄..watoto wa leo wanachangamka mapema na shule now days they dont care umri kama mtoto anao uelewa so tulim enroll shele mapema sanaa.she is now 12 kidato cha kwanza
 
Back
Top Bottom