Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kakwambia nani? Mbona wakishatangulia mke huku nyuma anapata bby kabisa mpaka unajiuliza mbona wakati mmewe yupo alikuwa kazeeka? Kumbe Mme alikuwa anamfuja tu sasa kampata wakumtulizaAnazeeka, wakati wakielekea uzeeni pamoja ni vyema msaidizi akapatikana, miili ya wanawake ukuaji wao unajulikana, binti wa miaka 20 sikuhizi ukimuona unaweza kumsalimia
Ndiyo maana mke akiachika, mtaraka hapendi aolewe tena anajua akipendeza ataonekana yeye ndiye alikuwa anamtesa [emoji3][emoji3]