Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Kweli hii aisee
 
ili uwapate kuwa muongo muongo tu basi, nasisitiza 'jua tu kuongopa'
hakuna u sensitive wowote
Nakuhakikishia utawapata wasio na hadhi na wanaojiuza... mwanamke halisi hawezi tembea na mwanaume wa aina hio, na hata kama akikubali tyr anajua ww ni mtu wa aina gani, so atapata anacho kitaka then atakucheat
 
Sawa em share nami hyo reference ya research yako nipitie..
Zipo online nenda ka search Google. Kingine wewe mwenyewe ukipiga puli mfurulizo unajoina kabisa na kuhisi hili kuna tofauti kubwa kati ya sex na puli. Kwenye sex kuna energy exchange ila puli unadhoofisha mwili.
 
I mean elezea hio attractive nature ulioisema hapo
Anhaa, Ni hivi

Ukiwa msafi yani pure, nwili wako haujatumika katika njia ya kujamiiana kwa utaratibu usio sahihi. Yani kuzini, basi mwili wako unakuwa na attraction au Energy ambayo ina vibrate katika Frequencies ambazo ni positive.

Hivyo hupelekea kuwa na mvuto mkali hasa pale ambapo unakuwa karibu na watu wa jinsia tofauti na yako.

Unaweza jiuliza kwanini mabinti hawaishi kukuganda, kumbe ni kwasababu una attract na sio ku chase.

Kumbuka hii mda hueleweka zaidi kwa kufuata misingi ya Energy, Frequency na Vibration.
 
Sure it's all about the energy.
 
Hii huenda ni kweli
 
Zipo online nenda ka search Google. Kingine wewe mwenyewe ukipiga puli mfurulizo unajoina kabisa na kuhisi hili kuna tofauti kubwa kati ya sex na puli. Kwenye sex kuna energy exchange ila puli unadhoofisha mwili.
Yaani nime google toka zaman sana, ndio maana nikataka kupata maarifa mapya kuhusu puli ambayo yanasema puli inamadhara uliyoyataja
 
Wewe Jidanganye Kuna watu nimakupuku lakini tunavyojua kufake mbaka watoto wazuri wanakujakustuka washachora tatoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…