Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Vibe, Energy & Frequency haihusiani kabisa na alichoeleza, kuna wadau daily wanabadirisha new pussycat Ila hawaishiwi kugandwa na HIZO pussy ni UPEPO TU ukikulalia utaona mpaka unatongozwa na HIZO pussy
Sababu za kuwa attractive zipo nyingi sana mkuu, mojawapo ni hiyo ya Energy japo najua zipo nyingi sana.
 
Sidhanj kama kuna ukweli juu ya hili.
 
Mkuu kama ungesoma nilisisitiza kuacha puli sio pussycats
Umevisema vyote kwa pamoja soma tena Andiko lako kuhusu semen retention umemaanisha usigonge mademu utunze Manii nikakwambia wapo wadau daily wanabadirisha new pussycat dolls na wanagombaniwa kila uchao na HIZO pussycat dolls nakwambia sababu HIO situation hata Mimi imeshawahi kunitokea kipindi changu cha ujana
 
Vibe, Energy & Frequency haihusiani kabisa na alichoeleza, kuna wadau daily wanabadirisha new pussycat Ila hawaishiwi kugandwa na HIZO pussy ni UPEPO TU ukikulalia utaona mpaka unatongozwa na HIZO pussy
Iko hivi wanawake wanavutiwa na wewe kwasababu unatoka na wanawake wengine,,,,yaani wana ile kitu kama wanawake wengine wanakupenda basi utakuwa na sifa za kupendwa,nao automatically watajikuta wanavutiwa na wewe

Mfano wake ni kama post ambayo imesomwa na wengi basi ata ukiikuta utajikuta unatamani uifungue usome maana kama wamesoma wengi basi huenda inavutia au ina ujumbe mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…