Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

HIVYO ndivyo ilivyo Mkuu kwa maana nyingine tunaita UPEPO
 
'Semen retention' ndo nini mkuu?!!!
 
Hawawez waka smell success, but ni good predictors. One thing wako good sana ni character judgment
 
Sasa si ndo kusmell huko! Predictions zao mara nyingi huwa zipo precise
Is not smelling, ni prediction. Prediction ni probability in disguise. Wanaweza kuwa right na kuwa wrong, mara nyingi naweza sema wanakuwa wrong sababu wanaume wameshajua how their system work, so they act ili kuwa feed false info, ndipo mwanamke anatumbukia sipo.
I can say 60/40 raito
 
Mkuu mwanamke anajua sana, trust me unaweza jificha ukamfool once uka hit ila baadae atajua who you are, you can't fool these creatures about feeding false info playboys ndo kazi zao. Ambao target zao ni wanawake wasio na mbele wala nyuma... angalia watu wanaopata madem kirahisi they've nothing to prove. Kingine wanawake hupenda kuenenda jinsi unavyomtreat hata kuambia ka notice kitu hata siku moja ww utahisi hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…