Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Ndio tunapenda, mwanamke kudeka inatafsiri ya mwanamke kumuachia usukani mwanaume aamue 1, 2, 3 na wanaume tunapenda sana kushika usukani.

Mke wangu akideka hua naenjoy japo simuonyeshi asije akatumia hiyo silaha maana atanitesa
Ila kudeka raha sana ukimpata anaekudekeza,
 
Huna pointi. Kigezo kikubwa cha ubonge wa mtu ni uzito wake bila kujali kama ni pear-shaped au apple-shaped. Basi itakubidi urekebishe title ya uzi wako na usomeke kuwa unaowakandia ni wanawake wanene wasio na shepu...

Na hao mabonge wasio na shepu unahangaika nao wa nini? Au unaishi mikoa ya huko wanakopatikana kwa wingi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kamata bonge halafu pear-shaped ule mema ya dunia kijana acha kukandia vitu usivyovijua! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shikamoo wakwetu[emoji13][emoji119]
 
Kudekewa raha sana haijalishi ni bonge au mwembamba,
Hata nikiwa busy kiasi gani akianza mideko tu naacha kila kitu namdekeza,
[emoji2]
 
[emoji23][emoji23]nimecheka Kwa sauti....

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
My new girlfriend ni bonge, nainjoi kwa kweli, Tuna miezi 7 hatujawahi kukaripiana kabisa, hata kama akilala kifuani siuoni uzito wake,
 
Kuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
 
Mkuu,hii tandam ni ya wapi?
 
Naomba nikuongezee nyingine usije ukaoa mwanamke 1GB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…