Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Ndio tunapenda, mwanamke kudeka inatafsiri ya mwanamke kumuachia usukani mwanaume aamue 1, 2, 3 na wanaume tunapenda sana kushika usukani.

Mke wangu akideka hua naenjoy japo simuonyeshi asije akatumia hiyo silaha maana atanitesa
Ila kudeka raha sana ukimpata anaekudekeza,
 
Huna pointi. Kigezo kikubwa cha ubonge wa mtu ni uzito wake bila kujali kama ni pear-shaped au apple-shaped. Basi itakubidi urekebishe title ya uzi wako na usomeke kuwa unaowakandia ni wanawake wanene wasio na shepu...

Na hao mabonge wasio na shepu unahangaika nao wa nini? Au unaishi mikoa ya huko wanakopatikana kwa wingi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kamata bonge halafu pear-shaped ule mema ya dunia kijana acha kukandia vitu usivyovijua! [emoji16][emoji16][emoji16]
McCpiKWY1~1.jpg
5cHHvquJi~1.jpg
CGDmqruDDj0~1.jpg
 
View attachment 2233496View attachment 2233497View attachment 2233498
Shikamoo wakwetu[emoji13][emoji119]
 
Kudekewa raha sana haijalishi ni bonge au mwembamba,
Hata nikiwa busy kiasi gani akianza mideko tu naacha kila kitu namdekeza,
[emoji2]
 
Wasalaam,

Katika pirika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3

Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajikekeza haa ha haa. Siwasemi kwa lengo baya ila mwanamke bonge hapendezi kudeka anaonekana kama kubwa jinga tu.

Uzi tayari ASP
[emoji23][emoji23]nimecheka Kwa sauti....

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
 
Na ukome kuyasema vibaya mayutong

Manamake manene mapoleee, matulivu, yana huruma, yana upendo, hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...Amani ya moyo mtu unaweza hata kutoroka kazini uje nyumbani chapu ulisalimie tu yaani [emoji39][emoji39]

Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani? Hata kakijidekesha mtu hujui kama kinataka kufaint kwa ajili ya njaa au kanapiga gheresha....

View attachment 2233464
Mkuu,hii tandam ni ya wapi?
 
Kuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
Naomba nikuongezee nyingine usije ukaoa mwanamke 1GB
 
Back
Top Bottom