Exposure, Exposure, Exposure,Mkuu tuzungumze maisha haya tunayoishi achana na muvi.
mkuu hizo story nimewahi zisikia.Kama mimi na wewe haijatokea kwetu ndio inamaanisha haitokei kwa wengine?
Unataka kusema tangu umekua hadi kufika umri huo hujawahi hata kusoma juu ya ukandamizaji wa Mwanamke? Hata ile filamu ya Neria pia hukuona??
Basi utakua unaishi under the rock
sawa ngoja nitoke mkuu uwenda nikajionea.Exposure, Exposure, Exposure,
Toka huko ulipojifungia katembee sehemu mbali mbali ujione mwenyewe
HAHAHA! WELL SAID MKUU!Kama anaongelea kuwa na hivyo vi-degree uchwara ndio wanawake waliosoma hao wanaolewa na MTU yeyote hawana security.
Kutana na femist lipo kwenye vitengo pale wizara ya fedha useme wewe ndio kichwa cha familia hata kupika halijui
Dawa ni kuowa wanawake wenye elimu ile ya kujua mambo machache tu,wewe mume take responsibility ya mambo yote ktk familia kisha uwezo ukiwepo mpe sasa mkeo jukumu la kufanya.Hii hali kwasasa imekuwa ni tishio mnooo, natamani turudie uzamani. Kuna baadhi ya mambo ilikuwa ni ngumu kukuta mwanamke anashiriki.
Feminist wa skuiz was*nge sanaBahati mbaya hujui maana ya feminist
Mkuu kuna mama yuko B.O.T anawatoto watano na kila mtoto na baba yake na anaishi mwenyewe hamna hata ndugu haya mambo hatusimuliwi tunayaona watu wnaafikiri masihalaHAHAHA! WELL SAID MKUU!
Mtihani sana.Feminist wa skuiz was*nge sana
Ebu cheki hii post kutoka ig, ya feminists
Wanapromote kua tupake watoto wetu wakiume makeups.. [emoji23].. lengo lao ni kudhohofisha uanaume (masculinity)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama wote wanaishi porini? Wanakula majani na nyamba mbichi?Kwanini sasa hauishi porini na wanyama wenzio na kula majani na nyama mbichi?
Kwa hiyo wewe ni Mchaga, Masai au Mkurya?Wanyama wote wanaishi porini? Wanakula majani na nyamba mbichi?
Wachaga, Wamasai, Wakurya wanakula hizo nyama mbichi!
🤔🙌Kwa hiyo wewe ni Mchaga, Masai au Mkurya?
Tokaaaa... wachaga hatuli nyama mbichi, nyie ndio hamjui namna ya kuchoma nyamaWanyama wote wanaishi porini? Wanakula majani na nyamba mbichi?
Wachaga, Wamasai, Wakurya wanakula hizo nyama mbichi!
Feminism imeharibu kila kitu sasa hivi mwanamke anajiona eti hana tofauti na mwanaume Ila mwanamke hawezi kamwe kufanana na mwanaume kamwe hawezi kuna mambo mwanamke hawezi kufanyaataishia kuwa kama sisi tusioolewa kisa tumesoma
Unaona sasa! Nilidhani utaleta iliyochomwa kule mgombani uoneshe huo ujuzi...ume-google huko kisha unataka kujiita mchaga!Tokaaaa... wachaga hatuli nyama mbichi, nyie ndio hamjui namna ya kuchoma nyama
View attachment 2520546
Nyama inabid isizid hapo kwenye "medium well"... sasa nyie mnachoma mpaka inakua "congratulation" [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app