Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Lakini bado watabaki kuwa wasomi.
Amesema watasoma ila atawapa pia elimu kwamba hawawezi kufanana na mwanaume.

Na ndicho kinacho-miss kwa sasa,wazazi waliopata watoto kuanzia 90s kuja 2000s hawakuwa na hii idea waliwaacha bila kujua bint zao waka-copy yale ya Beijing that's why tunaiona hii hali leo so kwa anayezaa leo mpaka 204o akawa anawafundisha alichosema kutakuwa na kizazi bora cha kutengeneza familia.
 
Lakini bado watabaki kuwa wasomi.
Amesema watasoma ila atawapa pia elimu kwamba hawawezi kufanana na mwanaume.

Na ndicho kinacho-miss kwa sasa,wazazi waliopata watoto kuanzia 90s kuja 2000s hawakuwa na hii idea waliwaacha bila kujua bint zao wa-copy yale ya Beijing that's why tunaiona hii hali so kwa anayezaa leo mpaka 2040 akawa anawafundisha alichosema kutakuwa na kizazi bora.
 
Hii mada ni kubwa sana na inapaswa kujibiwa kwa hoja zenye ukubwa kama mada yenyewe ilivyo.
Naona kuna empty set zishavamia mada zinaelekea kuiharibu.
Ngoja nisogee upande mwingine Ngalikihinja muwe mnawakusanya hawa madogo wa 18 na 20 nankuwafunza namna ya kubehave huku jf. Sio kisa wamepata bundle na simu zawadi ya birthday basi wanaandika andika tu
 
Hii ni fact wanawake wasomi wengi wao hawajui majukum yao hata kupika ni mtihani.
Hatuongelei hizi degree za kuunga unga nina ndugu zangu wanawake wana elimu zao naona wanavyojisahau
 
Sasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
 
Pointless
Wesomi wanaolewa sana tu.
Labda huko kwenu ndo huwa hawaolewi.
Tena wanaume wa wanavyopenda kitonga... yani wanawake wenye kazi na wasomi ndo waolewaji kila siku na ukibook kumbi za harusi zimejaa
Nilipo-bold!

Tayari ni tatizo huyu kijana hatapata amani ya maisha kwa sababu by nature mwanamke siyo mtoaji sasa kama kijana anaowa mke kwa sababu ana kazi nzuri mshahara mkubwa hii itamtokea puani ndiyo zile unasikia ndoa imekaa miaka miwili imekufa.
 
wasomi ndio hawataki kuoa hao wasomi wenzao,mwanamke akishazidi degree moja hatakama mwanaume unajiamini vipi lazima atataka aweke osomi wake kwenye hamna
 
hakuna usomi wala feminism mbele ya hela bro….tafuta hela acha makasiriko mzee…na ukiona mwanamke ni feminist ujue she’s not ur typ…ataenda kukutana na wanaume wenye high masculine ambao ndo typ zake
Umemaliza mama/baba.
Ndo gender theories za sasa zinawakumbusha majukumu yao kama traditional men ili heshima iwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…