Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wakina nani hao???
Waliowaletea Dini??
 
🤣🤣🤣🤣
Kigezo kikubwa cha kuoa mwanamke kiwe tako na sura na sio elimu
 
We ndio mtu wa ajabu na hela zako wapo wapi wake wa kina Jeff na Elon je dangote
I’m not sure kama hawa watu waliweka sababu za kuachana na wanaume/wake zao…but most of them huwa ni cheating na unyanyasaji….na kwa wenzetu cheating na unyanyasaji sio mambo ya kusamehe kirahisi they know what they deserve when it’s comes for someone’s rights…
 
Muhimu ajuye kutunza familia, jambi ambalo kwasasa linaoneka kuwa replaced na usomi, kwa wanawake.

Ze moo wanakuwa wasomi, ze moo wanapata maarifa ya ku-outsource majukumu yao ya kimsingi.
 
Wakina nani hao???
Waliowaletea Dini??
Achana na dini kwa sasa, kwani wanyama wana dini? Kwa sisi tuliochunga, sidhani kama kuna aliyewahi kushuhudia hata kwa bahati mbaya kuwa Dume likakakuliwa maziwa au porini ukasikia Simba jike kulinda himaya yake, zaidi utasikia analinda watoto wake.

Wenye hiyo agenda, nadhani itakuwa ni wasomi!
 
Akili yenyewe huna.
Mara unasema wanawake wasomi wanaolewa sana sababu wanume wanapenda mtelezo, mara wanatakiwa waoane na wasomi wenzao.
Mara wanaume wamesahau majukumu yao.
Wanaume wanajua majukumu yao ndio maana hawataki kukaa na midume jike inayodhani kuwa na elimu inayafanya yawe manaume ambayo hayajui hata kupika
 
Hivi kweli uolewe na bakhresa au manji au dangote kila kitu kipo mezani kweli kelele za usawa ziwepoo???

Ni wanaume waganga njaa tu ndo wanaona kuonewa na wasomi.
Anyways tafuteni hela.

Wewe empty set unayejitahidi kuniquote asee sitakujibu kamwe ....I mean NEVER. Nshakujua ww ni low brain.
 
Hongera mage tuliopo maliza darasa la Saba tu wazazi wako waamua uolewa tukaucheka ulipo zaa mpema kisa siye tupo shule, ukakomaa na mumeo kwenye kilimo na ufugaji Leo hii sisi wasomi ambao ndoa zinatutesa wewe haikutesi, sisi wasomi uhuni wakutoa toa mimba uzazi unatutesa wewe haikutesi,..sisi wasomi life style inatutesa wewe haikutesi hongera sana CR7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…