Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke, haya mambo ya usawa yameibuka ili kuilinda jamii nzima hasa wanawake kwani huko nyuma lilionekana ni kundi dhaifu ambalo halikua linapewa kipaumbele kwenye shughuli za uzalishaji.
Tatizo nafikiri lipo kwa wapokeaji wa haya mambo ya usawa wa kijinsia kulingana na tabia binafsi ya mhusika, ila bado wapo wanawake wenye elimu na wanaishi vizuri sana na waume zao vile vile wapo hawa wasio shikika tunao wajadili hapa ambao nadhani tabia zao binafsi ndio changamoto kuliko usomi wao.
 
Apa taabu sio elimu,tabu ni hayo Mambo sjui ya haki sawa,yaani apo tu ndo tatizo
 
Kwa hiyo wewe unajifananisha na Wanyama 😳
 
Tatizo la msomi chake chake cha mwenzie chake! Akifanya kitu kwa pesa yake kwa matumizi ya familia anaandika kwenye notebook. Anaamini pesa yake sio kwa ajiri ya ndoa ila ya mwanaume.
Huko mbele wa Beijing watataka na sisi tupate hedhi na tubebe mimba.
 
hakuna usomi wala feminism mbele ya hela bro….tafuta hela acha makasiriko mzee…na ukiona mwanamke ni feminist ujue she’s not ur typ…ataenda kukutana na wanaume wenye high masculine ambao ndo typ zake
Feminists wanadhohofisha masculinity lakini. Wanataka wanaume wawe masimp, afu baadae wanashangaa kwann hawaoni masculine men... haha

Mm kiukweli nasupport equal rights and opportunities kwa mwanaume na mwanamke, ila ushaona feminists walipofikia sasa? Wanataka kuvuka mipaka sasa. Unakuta leo wanadai kua mwanamke na mwanaume wote ni sawa alafu kesho wanadai kua wanawake wawe wanapewa 'period leave' kila mwezi. Halafu wanadai kua wanawake walipwe zaidi kwasababu "they're going through alot". Boss gani sasa akuajiri mahudhurio yako yawe machache halafu eti akulipe zaidi mwisho wa siku? Ifike mahala feminists wakubal tu kua wanaume na wanawake hatuko sawa na hatuwezi kua sawa. Hakuna aliebora kuliko mwenzie, ila hatuko sawa tu...
 
Waganga njaa tu hawa ukute hata hela za mahari hawana.
Wengi hawana hata ofisi maalumu ataoaje wakati ni mganga njaa... mke na watoto watakula nini...? Sasa kujiridhisha anajifanya anakataa ndoa
🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
hakuna usomi wala feminism mbele ya hela bro….tafuta hela acha makasiriko mzee…na ukiona mwanamke ni feminist ujue she’s not ur typ…ataenda kukutana na wanaume wenye high masculine ambao ndo typ zake
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…