Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
watu mna muda wa kuchezea sanaGuyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia,
Siwahukumu kila mtu yupo huru kufanya anachotaka kikubwa tu asivunje sheria ila binafsi hua naona tabu kuwatizama, kuna wazee nawajua hata humu wamo wanapenda sana mitindi na mabolibo je hao ndio wanasababisha dada zetu watembee bila bra? kuna washakunaku watasema "waulize wenyewe...." we kuwezaaaaaaa! unawajua vizuri hao wanawake kwa kuchamba, unataka nichambwe hadi nisahau mlango wa kwangu, akuuuuuuu!
Anyway, ngoja nikanunue mihogo na dagaa mchele za kukaanga nishushie na maji baridiiiii, mjini kuna mengi.
sema unahamu ya kuyaona usitumie kigezo cha members
Watapumzika kaburini, kila siku mbinu mpya zinaibukaKama ni kweli basi wanaume wana kazi sana
Eeeeeeeeeh! hapa nimepata picha, nyonyo linajimwaga kifuani😂Kitambi na kuvaa bra inaumiza
Nilidhani ndio mnapenda kuona maua yenu yakichanua😀Ulichoandika ni ukweli, tunagugumia ndani kwa ndani.
Hua napenda kuona mabolibo yakiwa yananesa nesa kwenye dera au tisheti😍tunapunga upepo sio muda wote kujibana
Hii kuweza mbn yakike kikeGuyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia,
Siwahukumu kila mtu yupo huru kufanya anachotaka kikubwa tu asivunje sheria ila binafsi hua naona tabu kuwatizama, kuna wazee nawajua hata humu wamo wanapenda sana mitindi na mabolibo je hao ndio wanasababisha dada zetu watembee bila bra? kuna washakunaku watasema "waulize wenyewe...." we kuwezaaaaaaa! unawajua vizuri hao wanawake kwa kuchamba, unataka nichambwe hadi nisahau mlango wa kwangu, akuuuuuuu!
Anyway, ngoja nikanunue mihogo na dagaa mchele za kukaanga nishushie na maji baridiiiii, mjini kuna mengi.
Hapana sidiria zipo za kila size, basi tu uchokozi waoSio kwamba hizo sidiria haziwezi kustahimili ukubwa wa "COWBELL" zao?