G
guest-1790917349
Guest
😀🙌🙌au sioWe should normalize this.
😀🙌🙌au sioWe should normalize this.
Mtatutesa sana sisi wadau wa mtindi.We should normalize this.
Nani anavaa sasa?Pia Msivae na chupi
Ndio kamamaa!😀🙌🙌au sio
SijuiKazi gani?
Ndio lengo 😂😂😂🤦🏻♀️Mtatutesa sana sisi wadau wa mtindi.
Watapumzika kaburini, kila siku mbinu mpya zinaibuka
Mi nashukuru Mungu kwakweliNdio kamamaa!
Sijawahi kuona tatizo na manyonyo hata yawe makubwa, Kuna namna tu huwa ni mazuri.
Mashallah!Mi nashukuru Mungu kwakweli
Navaa jpil tu au kwenye baadhi ya nguo ambazo naona chuchu itschomoza
Ni halali yetu tulivyoandamana mkuu.Mbona maaskari wanaandamana kwa niaba ya waandamanaji na wamelambishwa posho ya kuandamana?😅😅 hizo ni hela za kupinga maandamanoz au waandamaji ndio nyie wenyewe mkuu
Millenial ktk ubora😀😀😀Mashallah!
nakuelewa 💯
Thank you!Asubuhi nikienda nunua mihogo.. yani huwa ni kudindaaa tuuu .. wadada wanakuwa wamevaa vya kulali ndani hamna kitu basi nyonyo konzi tako tepe tepe 😬😬
😅😅 Mie nataka kuandama na waandamaji wa Ufaransa, nimeisha andaa mayai vizaaaNi halali yetu tulivyoandamana mkuu.Mbona maaskari wanaandamana kwa niaba ya waandamanaji na wamelambishwa posho?
Umeamua kunichekesha😀😀Nani anavaa sasa?
Inategemea na PGO yao inasemaje.Usije ukawa unataka kutoa yai viza mfuko wa ndani wa koti wakadhani unatoa silaha wakakuua.😅😅 Mie nataka kuandama na waandamaji wa Ufaransa, nimeisha andaa mayai vizaaa
Thank you!
Exactly my point, nashukuru umeiweka vizuri
Picha mkuuGuyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia,
Siwahukumu kila mtu yupo huru kufanya anachotaka kikubwa tu asivunje sheria ila binafsi hua naona tabu kuwatizama, kuna wazee nawajua hata humu wamo wanapenda sana mitindi na mabolibo je hao ndio wanasababisha dada zetu watembee bila bra? kuna washakunaku watasema "waulize wenyewe...." we kuwezaaaaaaa! unawajua vizuri hao wanawake kwa kuchamba, unataka nichambwe hadi nisahau mlango wa kwangu, akuuuuuuu!
Anyway, ngoja nikanunue mihogo na dagaa mchele za kukaanga nishushie na maji baridiiiii, mjini kuna mengi.
Hauzijui "bra" mkuu?Labda rangi ndiyo azingatie.Picha mkuu