Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Pia ni sehemu pekee unaweza kukutana na wabinya pumbu (wasiojulikana) na id zao za kike 😀😀😀
 
Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.

Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
😀😀😀
 
Kwani wakifanya hivyo ni makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…