Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

One in a million...
 
Hahaha. Sema usipokuwa na akili wanazimaliza zote unarudi kwa bondia wako unakutoa meno.
Na wananua kuzitafuna hao acha tuu. Inabidi uwe makini kweli pamoja nanutamu wa hizo mbususu zao
 
nimejikuta nakusikitikia sana...
.
maisha yamebadilika boss hayo unayosema yalikuwa yanatokea miaka ya kumi nyuma..
.
wadada wa siku izi hawana mda huo, akiamua kukuanzishia fujo ukitaka kuonesha kuwa ww ni mwamba utaishia kwenda jela maana kadri unavyozidi kumshape ndo anavyozidi kukuzidishia kiburi.
.
kwa akili hiyo uliyonayo ipo siku gunia mbili zitamuusu mkeo..
 
Ujanja wako mwanaume ni kipindi cha courtship tu maana mwanamke ndio anaomba kazi ila ukiisha mwingiza ndani yeye ndiye boss na wewe mwanaume ndiye kibarua. Ndio maana ukitaka kumuacha sheria zinamlinda ila wewe mwanaume zilikulinda kipindi hujamuingiza ndani. Hivyo basi furaha ya mwanaume huwa ya kipindi kifupi sana na mwanamke ya muda mrefu.
 
Hizi Ni mbwembwe za kwenye keyboard mtaani tunawaona mnavyoweweseka
 
Nashindwa kusoma maoni yote lakini nilichogundua kwako mkuu zingatia hata

Hakuna ndoa isiyo na changamoto lakini kama umeamua kuoa inamana huo ni ubavu wako,kwanini unaogopa mkeo kushika simu yako? Kuna kitu gani mpaka unaogopa?

Yan kitendo tu cha kuogopa tayari nae anashindwa kukuamini ikishafika hatua ya kutoaminiana basi kifuatacho ni kutafuta njia ya kujipoza. Maisha ya ndoa hayataki mambo ya chinichini.

Kuwa huru na mwenzako nae awe huru kwako tumia muda wako wa ziada kuwa nae,ukimtenga sana atakuwa na wasi was kuwa una mwingine huo ndio udhaifu wao. Wanawake wako tayari hata usiende kazini ushinde nae ndani tu. Usione kuwa unabanwa ila ni wajibu.

Ndoa ngumu sana kama utaichukulia poa.

KWA WANAWAKE: Tambue kabisa wanaume wanapenda heshima,hata kama humpendi lakini ukimuheshimu mumeo atakujali sana, jitahidini kutokutaka kupindua madaraka ya nyumbani, elewa mume ni kichwa lazma uwe chini yake ukilazimisha vibao vinaweza kukuhusu au kutengana.
 
Unaweza muomba au kuonyesha dalili fulani ya kutaka mchezo, akakukataa au akakwambia tu amechoka au hajisikii 😎😎. Je utambakaπŸ€”
ah hajisikii tena? ala basi na mie kuna siku nitasema dah leo na mie sijisikii kukupa hela 🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Wanawake ni pasua kichwa aisee, Yan hata uwe na pesa haimfanyi kuwa mnyonge hata kidogo.....

Kuna jamaa yangu anapesa nzuri tu, kamnunulia na mke wake gari lakin, mke ndo haelewi wala hasikii, anaweza kununua wiki mbili ndani haongei kitu...😁😁😁

Inafikia hatua jamaa akija mkoani anatafuta kimchepuko anajituliza kidogo maana ndani hakukaliki..
 
ah hajisikii tena? ala basi na mie kuna siku nitasema dah leo na mie sijisikii kukupa hela 🀣🀣🀣🀣🀣
Ukishakuwa na watoto inabidi ujitume tu watoto wasife njaa mkuuπŸ€“πŸ€“πŸ€“

Hawa watu ni wakuishi nao kwa ajili hata biblia ilisema
 
Ukishakuwa na watoto inabidi ujitume tu watoto wasife njaa mkuuπŸ€“πŸ€“πŸ€“

Hawa watu ni wakuishi nao kwa ajili hata biblia ilisema
sii na mnyima hela ya salon na mafuta ya gari, ila kula ata kula tuu. mwanamke kazi yake kuu ndani ya ndoa ni kutoa burudani kwa mume wake basi!! vingine ni bonus tuu ambavyo sio vya lazima sana
 
sii na mnyima hela ya salon na mafuta ya gari, ila kula ata kula tuu. mwanamke kazi yake kuu ndani ya ndoa ni kutoa burudani kwa mume wake basi!! vingine ni bonus tuu ambavyo sio vya lazima sana
πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Hapo akiona umekata hizo huduma lazima ajirudi tu aisee, pesa ya saloon ndo Kali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…