Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

😂😂😂Uzuri wenu siku hizi ni waoga mnaogopa kuusimamia uanaume wenu 😂😂😂 mnakimbia wanawake!!!!! Mmekuwa wepesi mno, hebu msomeni Frank, anajibu hoja kwa kuelezea misimamo yake haleti shutuma kwangu na hivyo ndivyo mnatakiwa kuwa
 
Mm natamani kusilimu nioe mke wa pili maana duh. Siku hizi naenda kazini siku 7 za wiki na wala sina kazi kule naenda kukaa tu ofisini. Sinywi pombe sivuti sigara sishabikii mpira na wala huwa sikai kwenye makundi mm huwa ni job nyumbani ndo sehem za ratiba yangu kwa siku
 
Huyo hakua mwanamke wa maana na Bora aliondoka huyo jamaa kaepushwa kikombe kibaya Sana bila kujua..
 
Wewe hujakutana na wanaume au labda hao unaowaongelea ni wavulana ila si wanaume.....mwanaume aliejikamilisha hata siku kiumbe anaekojoa mpaka achuchumae kamwe hawezi mtetelesha...
 
Vijana wa siku hizi ndio maana Wanawake wanawapanda kichwani,ukishaingia kwenye ndoa fedha haina nafasi ya kuamua hatima ya ustawi wa ndoa yenu bali ni upendo,nidhamu,kuheshimiana,utii na Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume kimamlaka na maamuzi.
Sahihi mkuu
 
Wewe hujakutana na wanaume au labda hao unaowaongelea ni wavulana ila si wanaume.....mwanaume aliejikamilisha hata siku kiumbe anaekojoa mpaka achuchumae kamwe hawezi mtetelesha...
Hapa ndo huwa nawadharau Yani hamuwezi kutetea uanaume wenu pasipo kutukana wanawake😂😂😂 na ukiona mwanaume unatumia nguvu nyingi kuonyesha uanaume wako Basi hapo ushafeli na utaendeshwa tu
 
Hapa ndo huwa nawadharau Yani hamuwezi kutetea uanaume wenu pasipo kutukana wanawake[emoji23][emoji23][emoji23] na ukiona mwanaume unatumia nguvu nyingi kuonyesha uanaume wako Basi hapo ushafeli na utaendeshwa tu
Asante [emoji4][emoji4]
 
Sijasoma lakini nakubaliana na wewe
 
Pole Sana mkuu,
 
Ndio hivyo Mwanaume unatakiwa uwe flexibly,penye uzuri unauendeleza na kwenye ubaya unauondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…