Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani.

At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea kwenye familia za kawaida.
 
Mwanamke mwenye dharau dawa yake moto..
Kuna mdada hapa ni daktari sijui yule na ndinga analo na ana nyumba chax huko upa amepanga yupo na jamaa ake kabisa ipa anavompelekesha jamaa ake so poa

Ila baada ya kuingia 18 nilipeleka moto uwezi amini mpaka ananiogopa an hana hizo zarau na vipesa anayo

Ndo mana jasema dharau dawa yake moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Moto sio suluhisho la kudumu. The best solution ni ku walk away
 
πŸ™ŒπŸ»Bro
 
Pata hela tujue tabia yako... Huu usemi umebeba ukweli mtupu... Si wanawake tu hata sisi wanaume tukijipata hua tunaanza kuwadharau madem ama wake zetu walio tuvumilia wakati hatuna kitu.Upendo ukiwa nguzo ya mahusiano yenu ni ooa sana
πŸ’― Proven in real life
 
Doh una moyo mkuu.. Mungu aniepushie na wanawake wa bar au sehemu zote za starehe πŸ˜“πŸ˜±πŸ₯Ί
 
Kupelekea moto mkuu ni kumstarehesha na siyo kumuadhibu.

Ukiona umempelekea fire akabaki kucheka cheka tu, jua kakupenda huyo, lakini roho ya dharau haiwezi kumtoka!

Na dharau zinakujaje? Mkishazoeana.
 
Moto kivip fafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…