babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.DAWA NI KUWAPIGA MASHINE YA NGUVU
😁😁Mwenyewe sasa hivi nina dharau
Naomba tiba
Watu wanajidharaulisha wenyewe, hawataki kujiheshimisha kwenye jamii, mtu yupo yupu tu hata mazoeuzi hafanyi, kazi anafanya kwa kulazimishwa wakati ni mtu mzima, harafu anataka wanawake wamheshimu.Kwanini udharauliwe?
Pambana ukwepe kuona watu wanakudharau
We mwanaume kazi yako ni kupiga kazi, na sio kushindana kutafuta sifa kwa wanawake. Hongera sana mkuu we piga kazi mgodini maisha yaendelee.Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
Wakati anakuvumilia kipindi hauna kitu yeye alikua na nini?. Hakuna cha kuvumilia wala nini hapo, ukweli ni kwamba mwanamke hakua na machaguo bora zaidi ya huyo mwanaume. Angetakwa na mwanaume mwenye hela angekuacha.
Mwanaume pia kwa sababu hauna hela haukua na options nyingi ukalazimika kubaki na huyo huyo mmoja. Baada ya kupata hela sasa una optjons nyingi ndio unachukua wanawake wa ndoto zako.
Hakuna innocent hapo, wote mlikua mnavi
Lakini mbona wengine tumejipata na wake zetu tumewezesha wamejipata na wamekua msaada mkubwa tuWakati anakuvumilia kipindi hauna kitu yeye alikua na nini?. Hakuna cha kuvumilia wala nini hapo, ukweli ni kwamba mwanamke hakua na machaguo bora zaidi ya huyo mwanaume. Angetakwa na mwanaume mwenye hela angekuacha.
Mwanaume pia kwa sababu hauna hela haukua na options nyingi ukalazimika kubaki na huyo huyo mmoja. Baada ya kupata hela sasa una optjons nyingi ndio unachukua wanawake wa ndoto zako.
Hakuna innocent hapo, wote mlikua mnaviziana
Yah,mpaka Leo akipiga simu ni kilio tu na mtoto ninae hapo pembeni.We mwanaume kazi yako ni kupiga kazi, na sio kushindana kutafuta sifa kwa wanawake. Hongera sana mkuu we piga kazi mgodini maisha yaendelee.
Wanaume wengi sana including Baba Zetu wamefelishwa na wanawake, kupenda kutomba mpaka unashindwa kufocus na mambo mengune ndio kunasababisha hayo
Hujafafanua moto uliompelekea...?Mwanamke mwenye dharau dawa yake moto..
Kuna mdada hapa ni daktari sijui yule na ndinga analo na ana nyumba chax huko upa amepanga yupo na jamaa ake kabisa ipa anavompelekesha jamaa ake so poa
Ila baada ya kuingia 18 nilipeleka moto uwezi amini mpaka ananiogopa an hana hizo zarau na vipesa anayo
Ndo mana jasema dharau dawa yake moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanao ana umri gani?Yah,mpaka Leo akipiga simu ni kilio tu na mtoto ninae hapo pembeni.
Ooh mwanangu nimemzaa mimi,
kijana hataki kumsikia hata kidogo maana anajua story yoote.
23 years sasa so Good,nilipoomba niishi nae alidai 2000$ nikalipa,Mwanao ana umri gani?
Vijana wengi kwa sasa wanakosea kwenye kufanya vetting ya mwanamke wa ku-settle nae.Lakini mbona wengine tumejipata na wake zetu tumewezesha wamejipata na wamekua msaada mkubwa tu
Wanawake wengi wanafikiri mchango wao ni sex tu, yaani kwa sababu mlikua mnafanya sex wakati unajitafuta yeye anaona tayari amechangia kwenye harakati zako, na mbaya zaidi wana mawazo ya kujiona wanafanya favor kudate na mwanaume anaejitafuta ndipo hayo mawazo huwa yanaambatana na dharau, kutokuwawekea wanaume wengine mipaka ya kumsogelea n. k...Ni ukweli mtupu.
Usisahau pia wakati hauna hela kuna dharau za hapa na pale.
Ahahaha ulikua ni heavy an ni.moto ambao hauelezeki aiseeeeHujafafanua moto uliompelekea...?
Naunga mkono hoja kuwa wanawake waliotokea familia duni wakipata maisha wengi wanakuwa ni vimeoUna dalili za kutojiamini!
Ni wazi huu uzi hautawafurahisha wanawake wengi akiwemo huyo uliyemquote.Naunga mkono hoja kuwa wanawake waliotokea familia duni wakipata maisha wengi wanakuwa ni vimeo
Anadekeza watoto wake kupita maelezo na anakuwa na kiburi sana na kuishia kujitenga na jamii kabisa....
Wale waliotokea maisha ya wastani au ya juu, wanakuwa poa sana... wamezoea pesa.....
Umeandika kibingwa Sanaa mwanetuMwanamke bila udikteta hamuendi cheka naye kwa machale mpe mahitaji yake kwa kadri ya uwezo wako, mtawale kwny kila ktu hata kama ana vijihela vyake vitawale, akae akijua muda wowote unamuacha, uksema no or yes afuate, usimpge kosa la kupga kwangu ni kuachana spigi mtoto wa mtu, nikiona dalili za kubshana au kurushiana maneno bs ndo tumefka mwsho, mi ndiye msemaji wa mwsho hataki byebye, hzi ni principle zangu na ninazsimamia kama imani na ninaishi kwa amani na mwanamke wng..
Ukaamua kumpiga chini mkuu?Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
Comment of the year!Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
Poor Brain anajulikana. Kwani si yeye pia ni kama wao!Moto sio suluhisho la kudumu. The best solution ni ku walk away
Afadhali, anadanganya wanaume hapa JF huyu Poor BrainWee wa kulelewa huna jipyaa, subiri wanawake wakuchoke, utahamia kwa wanaume penda sana mtelezo.