Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Acheni kutajataja majina ya watu kwenye comment zenu, unataja watu walishaolewaga na wakakaa kwenye ndoa wakaona ni upuzi, na wengine ambao hawana shida na huko kuolewa, hivi unajua wapo wadada hawana shobo na kuolewa?? Usichukue mentality za mazoea ukadhani kila mwanamke wa over 35 na yuko single basi ana shida sana ya ndoa wengine wanajionea poa tu.
 
Sasa nyongo ya mamba ni sumu au si sumu maana ndio ukweli upo hapo.

Kuhusu kitambi haikuwahi kuwa agreed na watanzania wote kuwa kitambi ni ishara ya utajiri maana hata masikini walikuwa navyo.

Tukirejea kwenye eneo la ndoa, hili janga limeanza kuonekana mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi leo hii ni miongo miwili so it means sio muda mrefu tokea janga lianze na sasa ndipo wale walioshobokea life style hiyo ya janga wanaanza kuvuna walichopanda.

Sasa acha kupotosha kwamba kuna siku kwamba jamii itazoea wanawake kuishi bila Ndoa huko ni kujidanganya kwasababu zifuatazo.

1. Kwasasa kutokana na kutetereka kwa taasisi ndoa kumekuwa na ongezeko la watoto wa mitaani. Jamii imejua ndio maana kelele za ndoa zinaongezeka miaka hii kuliko kipindi chochote kile cha jamii ya mtanzania.

2. Ndoa ni taasisi muhimu katika ujenzi wa taifa. Viongozi na jamii wanalijua hilo hivyo ni ngumu kuwa watachekea kufeli kwa taasisi hii.

3. Wanawake wanaoishi nje ya ndoa ni minority ya population ya wanawake wote. Idadi kubwa ni waliopo katika ndoa maana zinafungwa kila siku, na wale mabinti ambao bado hawajaolewa.

4. Ndoa ndio chimbuko la mafanikio ya kiuchumi na ustawi wa jamii ikiwamo malezi ya watoto, wanaume hawataacha kuoa na watatafuta wanawake ambao wanavigezo vya kuwa mke sio bora mwanamke, sasa umri ukiwa umeenda wewe tayari hauna vigezo wataolewa mabinti wadogo chini yako umri wa chini ya miaka 30.

So tusipotoshane kuwa kuna siku jamii itasema ndoa ni mzigo na watu waishi kiholela bila NDOA hiyo sahau.

Katika taasisi imara na ya muda mrefu basi ni ndoa. Imekuwapo kwa vizazi na vizazi. Hailazimishwi ila watu huitafuta na kuingia kwa moyo wa hiyari na wakuitaka kwa masilahi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuongea uongo. Hakunaga mwanamke wa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini unaweza kuvumilika sababu ukitoboa hata umri umeenda still maisha utayafurahia. Ila ndoa umri wake ni wakati wa ujana tena ukiwa kinda.

Ukiwashafika umri wa ukuta aaaaah hapo ni basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo matumaini uliyonayo ya kutoka kwenye umaskini ni hivyo hivyo wanawake waliopo above 35 wanayo kuingia kwenye ndoa. Narudia usiwape stress Dada zetu. Ni umri na miili yao, wewe mwanaume yanakuhusu nini? Tunasumbuliwa na story za ndoa kutoka kwa hawa mademu sababu ya wanaume kama nyie.
 
Una maneno makali sana, alafu unaamini sana kwenye fikra zako! Unadhani kila kilichomo kwenye akili yako ndo kiko hivyo hivyo kwenye uhalisia.

Nataka nikwambie kuwa unakosea, tena sana! Jifunze kuwaza nje ya box, jifunze kuwa na flexible mind & jifunze kuwa tayari kusikia hata usiyopenda kuyasikia.

Kwa kusema hivo namaanisha hivi, kuna mtu anaweza kuwa yuko 40 lakini wala hakuwa kicheche, hakuwa na bahati tu. Na siyo kwamba walioko kwenye ndoa ndiyo wenye akili sana, au wametulia sana au wako bora sana!

Ukishajifunza kuangalia dunia kwa jicho la tatu, hutakaa kumvunja mtu moyo na ku-generalise mambo!
 
Mambo kama hizi ndio zinawatia dada zetu pressure. Unakuta huku uswahilini watu wamechukuana tu wanaishi chumba kimoja kila siku ugomvi, maisha hayaeleweki lakini bi dada akitoka hapo anaenda kujisifia kwa wenzake eti mimi nina mume na kila siku anakula kipigo.

Madhara yake inapelekea msichana kuangukia kwa mwanaume hata asiekuwa sahihi ili tu nae aonekane ni mkee wa mtu kitu kinacho zidisha idadi ya masingo maza kwa kasi ya 5g.

Kwa miaka 35+ kwa mwanamke huyo ni mkongwe kama hana mtoto ndio wakati wakutafuta na sii kukimbilia kutafuta mume.

Kama tayari kwa huo umri unawatoto endelea tu na maisha yako, ukipata wa kukuchakata siku moja moja sio mbaya maana sii vizuri mwanamke kukaa muda mrefu bila kutombwa
 
Hamna mwanamke ambaye hataki kusema, "ntakusemea kwa babaako akuchape" 😂😂😂
 
Mwanamke wa miaka 35 kashakwepa mishale mingi ya kimahusiano wengi hata nyege zenyewe hawana, na ukikuta anayetaka kuolewa sababu maisha magumu apate wa kumtunza wachache ambao hawajapitia misukosuki ndio wataishi kwa stress ya ndoa.
 
Ni stage tu. Tukiipita tutakuwa tukiangalia nyuma na kushangaa jinsi tulivyokuw tunaona kuolewa ni mafanikio
Mafanikio huleta furaha na pride au confidence. Mafanikio yapo nyanja mbali mbali katika level ya mtu binafsi.

1.Kielimu
2.Kijamii
3.Kiuchumi

Hayo ndio top three ila sio kila mtu anafanikiwa katika yote. Ukikosa kimojawapo huwa kuna hali ya kujihisi duni tu na kuona kama hueleweki kwenye jamii hata ukijifanya hujali ila sononeko lipo tu.
 
Umuhimu wa ndoa kwangu ni kwasababu Sipendi Uzinzi na kuzaa hovyo kila mtoto na baba yake. Nje ya hapo sioni umuhimu wa ndoa.

Ningezaa na mwanaume mmoja kila mmoja na maisha yake tusaidiane kulea nikitaka mechi natafuta kiwanja chochote naenda kuchakachua. Maisha ya ndoa ni utumwa tu.
 
Ni Utumwa kama uliyeoana nae hujampenda/hajakupenda.... Kama mmependana yaani unaishi na Soulmate wako ni Maisha ya Raha yasiyoelezeka,
Kikubwa ni kujuana Tabia na kuishi kulingana na Mazingira yenu, migongano hua ipo tu ndio Ubinaadam lakini Ndoa sio mbaya Watu ndio wabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…