Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Achana nae huyo
 
Kuna vitu huwezi kuwa huru kuvifanya ukiwa ndani ya ndoa Haijalishi mwanamke au mwanaume .
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Human nature itaendelea kubaki pale pale huwez shindana nayo mwanamke anatakiwa Aishi na mwanaume same kwa mwanaume

Kuna mmoja alikua kama wewe siku amepata mwanaume akaolewa alipata furaha ambayo sikuwahi kuiona nikamuuliza vip Ile misimamo yake akaniambia niache ujinga in short huwez shindana na nature
 
Kwahiyo wewe umeolewa ila unataka wenzako wasiolewe.....?

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

Sasa sisi tunavyowasisitiza hapa unaona tunakosea ila wewe kuwapotosha ndio sawa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wasiolewe .Kuna wengine hawataki kuolewa ndo hao wewe unawajaji. Wao wana furaha kutokuolewa. Tatizo mkimwona mtu ana 40 na hajaolewa mnaona anaishi maisha ya huzuni. Nop ikute mtu kaamua mwenyewe na ana furaha,unless mtu ambae anapenda kuolewa na hajaolewa. Binafsi hata kama nisingeolewa ningekuwa sawa tu.
 
Who told you kuwa mwanamke anatakiwa aishi na mwanaume ?Mwanamke anaweza ishi na mwanaume na anaweza ishi peke yake pia. Yesu mwenyewe aliishi peke yake. Paul anasema kabisa anatamani wanaume waishi peke yao. Ila.sababu ya matamanio so kila mwanaume awe na mwanamke wake. So mwanaume anaweza ishi peke yake,mwanamke pia anaweza ishi peke yake .
 
Mtu aishi peke yake only if akiweza kuishi bila kufanya ngono, maana hakuna dini inayoruhusu zinaa.
 
Mkuu, nimefurahi kukuona tena. Naamini nimesoma vizuri nikaelewa..hahah!!
 
Kuolewa au kutoolewa vyote sawa kikubwa unayafurahia Maisha ya Ulimwengu unakuta Mtu kaolewa anaishi Kama kichaa + majeraha ya Kipigo Cha Mbwa Koko Sasa hapo ni Bora ambaye hajaolewa.
Kwa ufupi Kama umebahatika kupata mwenzi wako na unaishi vizuri Mshukuru Mungu Ila usilete dhihaka kwa ambao hawajaolewa maana Kuna sababu mbalimbali za kutoolewa.
 
Kuna vitu huwezi kuwa huru kuvifanya ukiwa ndani ya ndoa Haijalishi mwanamke au mwanaume .
Taja hivyo vitu ukitoa Uzinzi na Umalaya ambao wengi ndio hudhibitiwa.

Kama una kiu ya elimu utasoma,
Biashara utafanya
Sherehe za stara utakwenda

Unataka nini zaidi?
 
HV mpaka unazaa na mtu uliwaza nn au kutamani kipi Kati yenu ?
Wengi wanaozaa zinakuwa siyo plan zao kuzaa, ni uzembe wa wanawake kutozingatia mzunguko wao na wapo wanawake wanaodhamiria kabisa lazima azae na wewe.

Mwenye uwezo wa kuzuia uzazi usiokuwa na plan ni mwanamke, mwanaume hajui mzunguko wa mwanamke ukoje, wanaume wengi hawapo tayari kuzaa kabla hawajajiandaa ndio unakuta kesi za kukataa mimba au kutokutowa matunzo ya ujauzito hadi mtoto source kuu ni wanawake, akimpenda mwanaume zawadi yake ni mtoto.
 
Yeah mtaalamu dada zetu bhana na wishes zao wakiamin wajuba ukiwazalia umewakamata.
ila kuzaa si Ni kuanzisha familia ..it means walishawaza kuwekwa ndani au kuishi pair till vitu viende hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…