Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Siyo kila Mwanamke ana bahati ya kuolewa, inapotokea hivyo inabidi kukubaliana na hali maisha yaendelee.
 
Siyo kila Mwanamke ana bahati ya kuolewa, inapotokea hivyo inabidi kukubaliana na hali maisha yaendelee.
Hapo inaingia ule msemo wa Waswahili usemao Sasa Mimi nifanyeje[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila sio jambo la kujivunia kwa kiumbe kinacho jitambua.
 
Unawaamsha sasa mbona? Huko ndo tunajipigia kitonga siku hizi mkuu
 
Sasa kama ni lesbian mtu anatakaje kuolewa? Ndoa ya mume na mke??
Lesbian ni mahusiano ya kibinadamu au ni matatizo ya kiakili kama ulivyo ushoga na fetishes zingine?!

Na inaonekana wewe hauwajui vizuri hao malesbian. Wale huwa wanajipa uigizaji wa kijinga sana. Eti mojawapo anajifanya mke mwingine mwanaume halafu wanaigiza. Hebu imagine ni kama wewe uwe na mche wa sabuni halafu uigize ni pande la dhahabu. Sasa si unaona ni ugonjwa wa akili huo?

Yaani ukatae kitu halafu ukifanye vile vile na jinsia yako kwa namna ya kuigiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki hapa. Wewe ndie utakae waoa. Au unawafariji wenzako kinafiki?

Unafananisha umasikini na Ndoa, haupo serious na maisha wewe u need to educate yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulivyotumia mfano wa wachache kutetea wengi na mimi natumia experience ya wengi niliowaona kulinda wachache wanaostahili kutetewa dhidi ya wengi wanaojificha kundi hilo la wachache.

Sasa usilazimishe niwe na mitazamo kama yako wakati sote tunajua haujui ninachokiongea sababu umechagua kukaa upande wako. Ila unajua ukweli upo na haya mambo yapo.

Ni ni kwasababu ya watu kama wewe ambao kwa sura ya unafiki unakuja kutetea viumbe ambao wanasura na haiba ya ndumi la kuwili. Wanapokosea wanajivika sura ya huruma na ukimya wa ukiwa ili kutetewa na wasiojitambua kama wewe ambao kazi ni kutafuta ushujaa ambao hauna faida na jamii zaidi ya kufunika tabia zenye kuleta matokeo mabovu ziendelee.

Acha tukemee wewe ili wengine wakiona dada zao wanachopitia wanakuwa alerted kuwa wakizingua jamii itawaonaje na kuwatreat vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa nahisi huna hata passport namaanisha hujajichanganya ulimwenguni kwenye jamii tofauti. Na hili ni tatizo la watanzania wengi. Ndoa sio ya Kila mtu. Yani sio kila mwanaume ameumbwa kuoa na sio kila mwanamke ameumbwa kuolewa, Yani ndoa sio ya kila mtu. Vilevile sio kila mtu ameumbwa awe mzazi, wengine hawatakiwi kulea watoto sababu hawana uvumilivu Kwa watoto. Jamaa kakwambia ukweli, tupo kwenye stage ya ushamba miaka ya baadae tutaona kawaida kuhusu kuoa na kuolewa kuwa sio ishu. Kama ilivyo kwenye teknolojia tulivyozidiwa na wazungu, vilevile hii stage ya kuona kuolewa ni lazima wenzetu walishaipita miaka mingi. Kama furaha yako ni kuwa na familia usidhani ni kila mtu. Sasa hivi furaha ya kila mtu duniani ni kuwa na hela nyingi na kuwa na peace of mind basi. Mengine ni nyongeza tu.
 
Unajua changamoto ninayoiona ni kuwa katika jamii kuna watu kama wewe ambao huwa mnajifanya ni comforter in general wa jamii. Ila huwezi kuta mtu kama wewe unakaa chini kukemea binti ambae katika umri mdogo kwa makusudi anachagua kutumia mwili wake kama malighafi ya kujipatia kipato.

Utasikia muache bwana si maisha yake we inakuhusu nini. Then hapa tena kwa unafiki ule ule unakuja unasema tunawasema kwakua wamefikia hatua hawana ujanja so tunawapa stresss


Nani aliyekwambia sisi tunafurahia kuwasema? Sisi tunaumia pia kuwasema hawa ila ni natural process na ni lazima itokee ili kukinga jamii na madhara ya kundi la WANAWAKE wa hivi ambao wakiachwa bila kuongea lolote wanajionea sawa tu na kuishi wakiendelea kushawishi watoto wa kike kufuata mkondo wao.

Wewe unadhani kuna mwanamke ambae kafika 35+ hajaolewa atafurahia kuona binti mdogo wa miaka 20+ anachumbiwa, anaolewa na kupata watoto ndani ya ndoa na kuishi vema katika jamii yetu?! La hasha. Furaha ni kuona wanawake wanapotoka na kuharibu kama yeye ili wawe wengi.

Na ndio maana katika hizi topic huwezi kuta mwanamke anakaa upande wa wanaume sababu wanawake wana asili ya kuharibu wanapoachiwa kujifanyia maamuzi muhimu kama haya ya ndoa na familia.

Sasa wewe unakuja hapa na kujifanya mfariji wao nenda wafuate PM uwaambie sisi hapa tuna kazi moja ya kukemea kazi ya shetani.

Wewe unasema sijui wanawake hawapati wanaume, hivi wewe upo serious na unachofikiria kwenye kichwa chako?

Hao wanaokosa wanaume wanatafutia bara au sayari gani?! Kila unapokwenda kwenye social media na social network ni wanaume kulalamikia uhaba wa wake wa kuoa. Sababu wanazotoa wanaume za kukosa wake ni mambo ya wanawake kutaka pesa, kutoheshimu waume zao, kutokuwa watii, kutoshirikiana na wanaume wao katkka mipango ya kifamilia, usaliti, tamaa etc. Nenda kamuulize sasa mdada unalalamika umekosa mume hawa wanaolalamikia kukosa wake au wapenzi hauwaoni, then ujionee namna mwanamke anachagua kuwa alivyo.

So wakifika hiyo age sisi huwa tunajua huyu alikuwa msumbufu age imeenda sasa anatubu ndio maana tunawasema. Sio wote wamekosa mahusiano sababu walitaka ila wengi ni matokeo ya maamuzi yao na mipango yao wakati wakiwa bado mabinti ila wakishapoteza mvuto na muda umeshaenda ndio wanajiweka sokoni, nani sasa aje kuchukua mtu umri umeenda na hakuna la kufanya nae katika umri huo.

Hebu kausha kama hujui kinachoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa miaka 35 kashakwepa mishale mingi ya kimahusiano wengi hata nyege zenyewe hawana, na ukikuta anayetaka kuolewa sababu maisha magumu apate wa kumtunza wachache ambao hawajapitia misukosuki ndio wataishi kwa stress ya ndoa.
Chipsi hata zikiwa na pili pili nyingi kiasi gani bado ukiziona utatamani tu kuzila tena na tena.

Same kwenye NDOA, hata kama ina madhira gani utaitamani tu iwe isiwe. Tusipotoshe jamii hapa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kweli “sukuma ndanii” unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sana
 
Kuna watu hawajali. Kinachowachosha ni kelele za watu wanaowataka wajali kama wao. Wawe na mtazamo kama wao. Mmoja anafikiri kuolewa ni mafanikio. Anataka na wengine waone hivyo. Wengine huwa hata watoto hawataki, lakini wale wenye watoto watataka kuflaunt watoto wao. Ni stage ya ushamba tu tunapitia
 
Unaona sasa wanawake mlivyo na roho mbaya kwa wenzenu? Unasema kitu kibaya yet bado upo nacho.

Ni sawa na mtu ununue gari halafu uwaambie wenzako kumiliki gari ni kutiana umasikini usinunue, halina faida zaidi ya kukupeleka mjini, kukupa privacy, kukupa usalama, kukupa heshima katika jamii na kukupunguzia gharama za usafiri na mizunguko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani hapo hapo unawapa faida kiaina halafu unawapotosha. MUNGU anakuona ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kweli “sukuma ndanii” unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sana
Uliambiwa kuwa kipindi icho walikiwa micharuko ama izo ndo estimations zako kwa Sasa,ukiwa inaishia kwenye dunia hii Kuna vitu vingi vitakavyo pelekea situation kwa mlengwa yaweza kuwa mbaya au nzuri .kwaiyo wewe ukipita maisha Yako ya myooko usizani Kila sampuli ya wasichana ni wadangaji ndo mana hawajaolewa mpaka Sasa ..loooh mfyuuu
 
Ndoa za Mitara zipitishwe ili hao wengine wapate stara
At least wewe dada umetoa hoja nzuri. Umeongea jambo la kuwasaidia wanawake wenzako. Ila sio hawa wakuda wengine wanaojaribu kutetea eti ni kawaida na aina shida wakati wenzao wanateseka na kufedheheshwa na haya maisha ya usingo.

Asikwambie mtu nje ya ndoa mtoto wa kike anapatwa na fedheha na mateso mengi.

Ndio maana tunakemea hapa ili hivi vibinti vya umri wa miaka chini ya 23 vijifunze na kujua huku mbeleni hakuna faraja wala kutetewa ni mwendo wa spana na kunangwa hadi adabu iwashike.

Sisi tunawapenda dada zetu ndio maana tunawasema kila uchwao. Achaneni na haya majinga yanayosema tusiwaseme wanawake tunawapa stress. Haya majinga ndio yamesababisha mabinti wanazalishwa hovyo sababu ya ile dhana mbaya kuwa mtoto wa kike hasemwi au hakemewi anapokosea.

Zamani watoto wa kike kitendo cha kuvaa nguo za kukosa maadili anasemwa kama kauwa mtu siku hizi mabinti wanavaa nyavu inaonyesha kila kitu cha ndani anapanda boda boda anajiachia kwenye barabara huko wanawake wenzake mnakaa kimya wanaume wanachekelea na wale wanaochukizwa wanashindwa kusema. Haya mambo yanazidi kuongezeka, sasa mnataka tucheke.

Ukiona mtu umri umefikia 35+ hayupo katika mahusiano serious nakuapia hapa asilimia 99% ni yeye. Miaka 35+ amekutana na wanaume wangapi kwa idadi?!


Wangapi walionyesha nia ya kumtaka kimaisha akasema hapana mimi nina mipango yangu kwanza. Leo wanajifanya ooooh mipango ya MUNGU, MUNGU gani huyo wanaemzungumzia.

Juzi tu hapa napita mtaa fulani nimekutana na mabinti wazuri sana rika la 22,nikawasimamisha kuwasalimia na kuwauliza jambo, walinipita kama ni mchina ameongea kichina na watu ambao ni mabubu na viziwi. Yaani ile dharau ya dry. Dah nikasema kwasababu "subirini mfike miaka 30 na hizo dharau zen"[emoji23][emoji23]

Wakacheka kile kicheko cha umetuchekesha balaa nikasikia m'moja anawauliza wenzake " Amesemaje? "

Sasa hawa wasipotoboa baade hadi 35+ kimahusiano lazima tuwakalie kooni.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa yaani. Wewe dada unajua maana ya NDOA. Maneno yako yamenyooka kabisa. Na MUNGU atakubarikia uzao wako utakuwa wa ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…