Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Hii misumari uliyogonga humu, ni hatari, ni kuntu kweli kweli.
Waambie maisha ukiyachezea na yenyewe yatakucheza shere
 
Aisee nimepata jambo zito sana hapa. Asante!
 
Daaah my lecturer taught me,, how people hide their pain in sentences leo ndo nimeamini[emoji16][emoji16] pole lakini
 
Sentence kadhaa zingetosha kumuelewesha[emoji16][emoji16] pole
 
Sorry naomb niulize
What are you good at,,,kwa career yako
 
Acha uongo alisema kama unaweza ishi pekeyako na hii yote ni kwa ajili ya injili[emoji16][emoji16] unadhan paulo angekuwa na mke, kw yale maswaibu aliyokuwa akiyapata mke wake si angekuga kwa pressure
 
I'm 34 single ,na enjoy life no tress ,,and life is so beautiful..........hakuna mashaka....sijawa bibi,ndo kwanza as beautiful as creopatra...
At 34 ukiwa beautiful, 19-24 wasemaje?
 
Acha unafiki hapa. Wewe ndie utakae waoa. Au unawafariji wenzako kinafiki?

Unafananisha umasikini na Ndoa, haupo serious na maisha wewe u need to educate yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi siyo mnafiki, unasumbuliwa na ushamba tu bro. You need to travel and get exposure, dunia ni kubwa kuliko Tanzania.
 
Maneno kuntu haya umechambua vyema.
 
Hapana mimi siyo mnafiki, unasumbuliwa na ushamba tu bro. You need to travel and get exposure, dunia ni kubwa kuliko Tanzania.
Niambie hata akisafiri ni jamii gani inapinga ndoa? Hakuna kitu kama icho wote duniani wanasapot Nina hakika 100%

Huwezi kufanya manipulation katika ndoa utasimama na msimamo wako hata ulee watoto upande mmoja kuna shida sio sawa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa
 
Rafiki yangu wapo watu wengi mno hawa amini kwenye ndoa, dini wala kupata watoto. Kama umewahi kuishi Western world hili suala lingekuwa clear kwako. Nitaendelea kupinga hii pressure tunayopa wanawake na hata wanaume kufunga ndoa ni ujinga mtupu.
 
Ni nguvu ya asili maana kuna wengine huolewa lakini hufiwa na waume zao katika age hiyo
 
Rafiki yangu wapo watu wengi mno hawa amini kwenye ndoa, dini wala kupata watoto. Kama umewahi kuishi Western world hili suala lingekuwa clear kwako. Nitaendelea kupinga hii pressure tunayopa wanawake na hata wanaume kufunga ndoa ni ujinga mtupu.
Hizo jamii kama izo zishapotea wacha kumdanganya watu zipo documentary za watu baadhi ya visiwa hawataki kuzaa wala kuoa ila wamepotea wote kabisa na zinaisha miaka 50 ijayo hamna kitu

Sasa elewa kwamba kuzaa lazima ili kusurvive kwa species fulani kama ivyo ivyo tuone 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…