Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Alafu ukiwa unatoa disvalues kuhusu discussion za hapa usipende kuwataja wamama,
Huoni kwamba unajidhalilisha nakudhalilisha jinsia ya kike kwa ujumla.wataje wanaume sawa mpendwa.
Mfano ungenambia mimi ''MJINGA BABA ANGU''ingependeza sana.
MJINGA baba yako,mama yako na wewe mwenyewe...FURAHI BASI?!
 
Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chini hataki.
Umejibu vizuri sana, most of the ladies wanakuaga na stupid mind hasa kwenye ages ya 21-30yrs yani
Siongei kwa kusikia bali hata mimi yamenikuta nikiwa nasoma bweni ukirudi kitaa unatongoza demu kisa pc kali inajikuta keki kinyama, mjuba nikampotezea nikatoboa School advance, nafika chuo nashangaa ghafla simu, nikapokea anajitambulisha mi fulani nikaanza nae nikaoa ndio mke wangu,
juzi narudi job nakuta anasimulia ujinga wake ati anawakanya watoto.mwanaume nikashindwa kujikaza nikampa maneno yake palepale sikumbakisha kudadeki zake.
 
Wanakuja na vihoja vya kuchomelea hapa vya kizungu upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mwenyewe si ndo umetuambia una miaka 39 lakini Shangazi Anita mbona unakuwa mbogo kwa wapwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acha hasira bwana seriously hili ni swala mtambuka. No body is attacking you. Tunaongea na wewe kwa lugha elekezi. Fanyia utekelezaji. UOLEWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proof tosha huwezi ku argue.
Jitahidi sana kuficha real ID yako(inner emotions)kuhusu mada yoyote ikiwa ipo hapa jamvin, kinyume na hapo utajiweka uchi mwenyewe kama ambavyo umefanya hapa.
Tayari hapa wengi wameshafahamu wewe ni mhanga wa tatizo la kutokuolewa au umeolewa ukaachika, pole sana jifanyie tathimin unakosea wapi then ukishajirekebisha chapisha bango tutakuja.
 
Pole we, usinipangie cha kuposti hapa JF, kutokuolewa mbona ni mimi mwenyewe nilisema pamoja na umri wangu kwenye posti yangu ya kwanza kwenye topic hii....unajichosha bure kutaka kuniattack ,nitadeal na wewe vilivyo....kama wewe una muda wa kuandika use.nge...so do i!
 
Aisee, hii ya watoto ndio kabisaa... nikisema sitaki watoto in this lifetime na sina tatizo lolote ( watanzania hua wanapanick ajabu lol)
Kweli ni stage ya ushamba, kuna siku haya mambo yatakua accepted kwenye hii jamii.
Honestly ni mawazo yngu pia
 
Misogynists work overtime to put women under control
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…