Acha kuzunguka mbuyu mpuuzi wewe, posts zako zote umeziframe kuni attack, ziangalie tena mpuuzi tu wewe sijui huoni tangia uanze kuniattack kuwa anita ni 39 years of age na good thing about this is age to her has come with maturity, she knows kuna wajinga wajinga mnaochukia wanawake na wenye mawazo ya Kijima, hivyo ku attack ni kawaida yenu….humbabaishi!
Nimeongea vitu vitatu, moja Anita being a woman and being kundi lililotajwa ,nimetoa my own perspective as the topic is relevant to me,sasa wewe unayekuja na msimamo tofauti wangu unanipinga kwa basis zipi, na wakati hujawahi kuwa mwanamke wala kuwa above 35?
Mbili ku measure attitudes za watu huwezi kuja na jibu moja, sababu tuko tofauti, tuna upbringing tofauti, exposure tofauti n.k sasa topic imelenga kujua attitudes zetu sisi wanawake kuhusu ndoa,tumekuja tofauti kuna wanawake wanaona si sahihi na wengine sahihi, kama ilivyo ngumu kuja na jibu moja kuna pia wanaume wanaona tunaoona ni sawa tu tuachwe, sasa kama unashindwa ku observe kuwa jibu haliwezi kuwa moja,sijui tukusaidiaje…
Mwisho nimesema sio lazima watu waone things in the same lens as you are it is what it is, dunia yako ambayo ni ideal sio lazima iwe ideal kwa wote, kulazimisha dunia yako ambayo unaiona ni ideal ndio iwe dunia yetu wote,…ni ujinga…na hautakubalika….!