Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Exactly ni makubaliano na preferences. Kama kuna wanawake wanapenda kuolewa kama kikundi iliwapate faraja basi tambua kuna wanawake hawapendi kuolewa au hawana haraka ya kuolewa. Heshimuni maamuzi ya watu especially kama hayawahusu.
Hakuna hiyo haiwezi kuapply kwenye huu mjadala. Wewe unaishi bila kuolewa ni nani unakutana nae kimwili?!

Huna haja za kimwili, na je huku na kule akapatiakana mtoto huoni kuwa mtoto atalipia maisha yake yote kuumia kuishi bila familia ya kueleweka sababu mama alikuwa mbinafsi alikuwa haheshimu Ndoa.

Kwa taarifa yako mwanamke kuolewa na wenzake ni jambo ambalo si tatizo na jamii inajua maana hata dini zinatambua ndoa ya wake zaidi ya m'moja.

Sasa wewe uje ufananishe na kuwa msimbe miaka yako yote bila sababu za kimsingi?!
 
Hakuna hiyo haiwezi kuapply kwenye huu mjadala. Wewe unaishi bila kuolewa ni nani unakutana nae kimwili?!
Jaribu kufikiria nje ya box unaamini mwanaume anaweza kuwaridhisha kimwili wanawake nne? Inawezekana sana watu wawili waka date for life bila ndoa. Suala la watoto siyo issue kabisa sababu siyo kila mtu anataka watoto. Naomba nikujulishe kitu siyo kila kitu kinachokubalika na jamii ni sawa. Kuna muda Jamii ilikuwa inakubali utumwa na ndoa za watoto.
 
Unaweza usielewe tunachojaribu kukwambia, ila kama umeshapata mtoto wa kike, yatamkuta kisha utaona kama utaweza kuhimili kumpiga spana mtoto wako mwenyewe. Ikiwezekana upate mfano hai wa mtu wako wa karibu, ili uweze kuona ule upande usiotaka kuuangalia.
 

Hehe ! Hawaolewi kama mayai, wanachaguliwa
 
Kwa nini ashindwe?

Kama huna nguvu ni wewe na Hilo ni tatizo lako, tafuta dawa upone[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kisaikolojia Kuna umri mwanamke uhitaji mtoto akikosa utaona anabeba midoli na inafikia hatua mbaya anaanza kulala nayo na kuiongelesha.

Huko kudate ni kuzini na ni chukizo kwa Mungu, tambua hilo kijana
 
Hiyo haiondoi ukweli kwa kile alicho waeleza.

Kwa hiyo binti yako utamdekeza ili aharibikiwe?
 
Sisi wanaume,kuoa ni muhimu,na Hawa wadada kuolewa ni muhimu.Hivi mdada ambaye umri umeanza kusonga,akiwa hajaolewa,jamii unadhani inamchukuliaje?

Ukute mdada ana mtoto kabisa,daah! yaani mtoto anakua anaumia kisaikolojia sana,hasa pale anapoona akina anko wa kila aina,wanatembea na mama yake, naturally huwa watoto wanajisikia vibaya.Oleweni,akina dada,angalia kinachokukwamisha usiolewe,jirekebishe,hali kadhalika na sisi wanaume,tuoe,ila tuoe wanaojitambua,wale wasiojitambua,tuwatimizie haha zao kwa kuwafanya michepuko huku tukiwashauri waolewe.
 
Mr. Power tunaishi dunia mbili tofauti huwezi kunielewa hadi siku ukigundua hata mke wako huyo mmoja ni demu wetu pia.
 
For my experience kudate na 37 and Above. Ukikuta mwanamke Yuko above that age na Hajawahi kuolewa na Hana mtoto wengi wao wako total desperate na anaweza akafanya lolote kwa mwanaume ili mradi waishi wote au waoane.wengi wao they pretend kuwa wako strong bila mwanaume lakin in reality wako too desperate na Hawa wengi historia zao nyuma walikuwa na expectations kubwa Sana mahusiano na wakidate na watu wenye fedha au walitarajia watu hao. Ila akishavuka 45 hajaolewa na Hana mtoto basi wengi wanagive up completely about ndoa...SASA Ukikuta 37 and above aliolewa akaachika au kazalishwa I mean single mother wengi hawana intension Sana na mapenzi wao wanawaza namna atakavyomlea mwanae na mipango mingine ya maendeleo akija kwako ataonekana kweli anataka mahusiano lakini hitaji lake kuu ni apate utulivu au fedha kujenga familia yake...NOTE..wengi age hii and above utelezi hakuna unajiongeza na mafuta..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Don't ever argue with a woman especially when she is in panic mode!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mr. Power tunaishi dunia mbili tofauti huwezi kunielewa hadi siku ukigundua hata mke wako huyo mmoja ni demu wetu pia.
Kwamba Dunia yako wewe ni ya kichuguu?
Inawezekana ila tambua adhabu endapo nitakufumania?
Inaonyesha unapenda uzinzi na kupromote uzinzi hivyo huoni shida watu kufanya ngono ila Ndoa unaipiga vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…