At least wewe dada umetoa hoja nzuri. Umeongea jambo la kuwasaidia wanawake wenzako. Ila sio hawa wakuda wengine wanaojaribu kutetea eti ni kawaida na aina shida wakati wenzao wanateseka na kufedheheshwa na haya maisha ya usingo.
Asikwambie mtu nje ya ndoa mtoto wa kike anapatwa na fedheha na mateso mengi.
Ndio maana tunakemea hapa ili hivi vibinti vya umri wa miaka chini ya 23 vijifunze na kujua huku mbeleni hakuna faraja wala kutetewa ni mwendo wa spana na kunangwa hadi adabu iwashike.
Sisi tunawapenda dada zetu ndio maana tunawasema kila uchwao. Achaneni na haya majinga yanayosema tusiwaseme wanawake tunawapa stress. Haya majinga ndio yamesababisha mabinti wanazalishwa hovyo sababu ya ile dhana mbaya kuwa mtoto wa kike hasemwi au hakemewi anapokosea.
Zamani watoto wa kike kitendo cha kuvaa nguo za kukosa maadili anasemwa kama kauwa mtu siku hizi mabinti wanavaa nyavu inaonyesha kila kitu cha ndani anapanda boda boda anajiachia kwenye barabara huko wanawake wenzake mnakaa kimya wanaume wanachekelea na wale wanaochukizwa wanashindwa kusema. Haya mambo yanazidi kuongezeka, sasa mnataka tucheke.
Ukiona mtu umri umefikia 35+ hayupo katika mahusiano serious nakuapia hapa asilimia 99% ni yeye. Miaka 35+ amekutana na wanaume wangapi kwa idadi?!
Wangapi walionyesha nia ya kumtaka kimaisha akasema hapana mimi nina mipango yangu kwanza. Leo wanajifanya ooooh mipango ya MUNGU, MUNGU gani huyo wanaemzungumzia.
Juzi tu hapa napita mtaa fulani nimekutana na mabinti wazuri sana rika la 22,nikawasimamisha kuwasalimia na kuwauliza jambo, walinipita kama ni mchina ameongea kichina na watu ambao ni mabubu na viziwi. Yaani ile dharau ya dry. Dah nikasema kwasababu "subirini mfike miaka 30 na hizo dharau zen"[emoji23][emoji23]
Wakacheka kile kicheko cha umetuchekesha balaa nikasikia m'moja anawauliza wenzake " Amesemaje? "
Sasa hawa wasipotoboa baade hadi 35+ kimahusiano lazima tuwakalie kooni.
Sent using
Jamii Forums mobile app