Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Itategemea kama una hela au hauna.....
 
By the way uko na 35+ mwanamam usijiskie vibayaaa njoo tuu PM tuyajenge.😊😊😊 kimasihara sihara kwa first time na me ntapukuchua mbususu ya 35 plus
 
Simple, ndoa zimetengenezwa na binadamu.
Dah sasa ulitarajia zitengenezwe na majini?
Ulitaka mahitaji yao ya kimwili yakidhiwe na matango?
au wapandane bila utaratibu?

Unafiki tu, huyu asiolewa mahitaji yake ya kimwili hapati?
kama anapata ndio utaratibu wa jamii ulivyo?

Watoto wanaozaliwa na baba wa kuunga na bluetooth hawaathiriki?
Unafikiri kwa nini watoto walelewao na single parents wana changamoto zaidi?
 
Mbona hueleweki. Nilikuwa najibu swali lako kama ndoa ni asili. Tuliza akili zako kama unataka tuendelee na huu mjadala.
 
Inawezekana kabisa. Mwanaume kwa wiki anaruka hata siku nne za wiki. Tena kuna wengine wana a very high drive anaruka siku saba za wiki hadi mwanamke anaomba Pooh kama hujui uliza. Na hapo mtu hatumii madawa wala nini ni mwili na chakula vinafanya kazi yake.

Na unakuta hana mtu nje so anamla mkewe tu hayo yapo. Sasa mwanamke kikawaida the more akikaa bila kufanya the more akija kufanya ata enjoy. Mfano wake wakiwa wanne ina maana mwanaume akiruka mara mbili na kila mke kwa wiki hapo ndani patakuwa hapatoshi kwa utamu ila wanawake wawe wamemvutia na amewafukuzia mwenyewe.

Kwa upande mwingine, watu hawaoi kwasababu za kingono tu, sababu zipo nyingi sana. Kuna video zipo YouTube za study case ya black community pale America zinazopractice ndoa za mitaala tena wanaishi nyumba moja na wanalala chumba kimoja na jamaa na watoto wao wapo nyumba moja na mama zao.

Wapo vema balaa ngoja nitafute link yake niweke hapa uone usikilize na ujifunze.
 
Kwamba Dunia yako imepitwa na wakati na si promote uzinzi nasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi, uhuru na haki za wanawake.
Maamuzi yasiyo na faida na jamio hayafai kuheshimiwa. Mfano unatushauri tuheshimu watu wazima wanaobaka watoto, mashoga, wezi, watu wanaovaa nguo utupu. Haya yote ni maamuzi binafsi ila yana madhara kwa jamii.
 
UNATOMBWAGA?
 
Kabisa mkuu. Umenyoosha maelezo vizuri kabisa.
 
Duuh
 
Wewr una lako sio bure.
 
Hawa ndio wa atuletea mapanya road na wadangaji huku mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…