Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Kuolewa si lazima.
Ingekuwa hiyari 90 ya wanawake wangekuwa single bila watoto wala majukumu ya familia hawajui.

Ila unfortunately ni ile lazima kama ya kula.

Hapo ni kama umesema kula lazima.... Nyoo usile uone balaa lake.

Sasa usiolewe utasoma namba huko mbeleni.

Kuna vitu vya kususa au kuahirisha katika maisha ila sio kuoga, kula, kulala, NDOA na mahusiano serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe umeolewa ila unataka wenzako wasiolewe.....?

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

Sasa sisi tunavyowasisitiza hapa unaona tunakosea ila wewe kuwapotosha ndio sawa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu achaneni na dada zetu.Huu ni upumbufu, utajiskiaje mtu akikuuliza unajiskiaje kuwa maskini? Halafu maswali yanaulizwa na watu wasiopata mademu wa maana.
Umasikini unaweza kuvumilika sababu ukitoboa hata umri umeenda still maisha utayafurahia. Ila ndoa umri wake ni wakati wa ujana tena ukiwa kinda.

Ukiwashafika umri wa ukuta aaaaah hapo ni basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine kulala kama panga stoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni stage tu. Tukiipita tutakuwa tukiangalia nyuma na kushangaa jinsi tulivyokuw tunaona kuolewa ni mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…