tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 537
Nimemwambia akamfunue bibi yake atuletee picha...
Huyo utoto unamsumbua akikua ataacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemwambia akamfunue bibi yake atuletee picha...
hahaa!! mkuu kwa hiyo ungem-baghdad na kum-mogadishu kabisa?
may his soul rest in peace!usione watu wana tumbo ukaanza ku-comment tu bila kufanya research.. hii ni poor thinking! mwanaume gani wewe una erupt namna hii mkuu? kuna driving factors nyingi sana zinazofanya wanawake na wanaume wawe na vitambi (shangaa wewe umerukia upande mmoja tu.. walikunyima nini hao lakini?) yawezekana kuwa ni vyakula kwa kiasi kikubwa sana vinachangia hili tatizo, kutofanya mazoezi ili kupunguza mafuta na mambo mengineyo, actually, ulitakiwa kutoa alternatives which could solve this problem... what kind of dr are you? wagonjwa wako wanarudigi nyumbani salama kweli? si wanafia mapokezi kabla hawajakuona?
hii ni a.k.a tu J.lee,
if he were a real doctor, vifo vingeongezeka kila siku, kesi za mikasi matumboni zisingeisha, operesheni za magoti badala ya tumbo zingekuwa gumzo tu duniani zikitokea TZ!
huyu sijui awe doctor wa nini ndio afit.. he dont deserve the profession..
Hasira zimenipanda hadi nachemkaa mkuu,
Huwa sipendi wanawake tukisemwa vibaya aisee
kumbe we hunijui vema.
Name: Holygrail
o level: songea boys
div.olev: div 1 ptns 10
a level: kibaha sec
comb: pcb
div.alv: div 1 pnts 4
college: muhimbili
faculty: medicine
experience: 12 yrs
haya semeni sasa na mavitambi yenyu!!
kumbe we hunijui vema.
Name: Holygrail
o level: songea boys
div.olev: div 1 ptns 10
a level: kibaha sec
comb: pcb
div.alv: div 1 pnts 4
college: muhimbili
faculty: medicine
experience: 12 yrs
haya semeni sasa na mavitambi yenyu!!
Hasira zimenipanda hadi nachemkaa mkuu,
Huwa sipendi wanawake tukisemwa vibaya aisee
------- mkubwa wewe!!
lini necta ikaapruvu matumizi ya A.K.A kwenye mitihani na official documents?
you must be sick?
are you out of charge? go and recharge little brat.. go and lie those who share common ideas with you!
not here..
ss tumbo la mtu asiyekuhusu ww inakuhusu nini?Msiharibu shape zenu jamani yaaani balaaaa na hiyo mitumbo kha na hapo ukute hajazaa akizaa sijui itakuaje!
kumbe we hunijui vema.
Name: Holygrail
o level: songea boys
div.olev: div 1 ptns 10
a level: kibaha sec
comb: pcb
div.alv: div 1 pnts 4
college: muhimbili
faculty: medicine
experience: 12 yrs
haya semeni sasa na mavitambi yenyu!!
Naipa thread hii division 0 na sio 5.
ss tumbo la mtu asiyekuhusu ww inakuhusu nini?
--pu.mba.vu.----- mkubwa wewe!!
lini necta ikaapruvu matumizi ya A.K.A kwenye mitihani na official documents?
you must be sick?
are you out of charge? go and recharge little brat.. go and lie those who share common ideas with you!
not here..
Acha ubinafsi
Mbona nyie mna matumbo makubwa kama matenki lakini tunavumilia? Unadhani hatupendi 6 packs???