Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
Kwa maelezo yako hizo zinaweza kuwa dalili za tatizo linaloitwa secondary Dysmenorrhea. Haya ni maumivu makali na muda mwingine huweza kudumu kwa kipindi kirefu zaidi ya kipindi cha hedhi na yanatokea wakati wa hedhi. Baadhi ya wanawake hufikia hatua ya kulazwa hospitali hadi muda wa hedhi utakapoisha.

Wanawake wengi wenye maumbo yanayowavutia wanaume mara nyingi huwa na tatizo hili (utafiti wangu) na isitoshe nawe una umbo la namna hii😂

Sababu kuu ya tatizo hili inakisiwa kuwa ni ulemavu wa kiungo katika mfumo wa uzazi (disorder in the reproductive organs). Ninaweza kukubaliana na makisio haya kwa sababu wanawake wengi, kama siyo wote, waathirika wa hali hii, huwa wanayo shida ya kupata watoto.

Hivyo, ninakushauri. Tafadhali, kutana na daktari bingwa wa magonjwa ya kinanama kwa ushauri zaidi wa kitabibu. Achana na bush doctors la, sivyo, utakuja kujuta baadaye.

POLE SANA.
 
1. Beba mimba hiyo hali itaisha hasa ukishajifungua.

2. Kapime Ovary cyst Wakati mwingine inawezakuwa sababu.

3 inaweza kuwa ni chango. Tafuta dawa za chango.
Hii inapelekea Homoni imbalance, gesi ambayo ni sehemu ya sababu zinachochea maumivu kama yako hasa nyakati ukiwa mwezini

Angalizo: Usitoe Mimba yoyote ile, pia usitumie uzazi wa mpango kama bado huna moto.

Jitahidi utafute mtoto mapema kwa sababu Watu wa aina yako mimba huwaga zinasumbua, aidha kwa kutoingia kirahisi na zingine zikiingia zinatoka au kutishia kutoka.

Mwisho, Muone Daktari hasa specialist wa magonjwa ya uzazi kwa kinamama.
 
Mi sijawahi umwa kiukweli ila nilichobahatika ni tarehe kugonga mulemule....ivo huwa najua kuwa kesho naingia period na haikosei....lasivyo bila tarehe kutokuyumbayumba ningekuwa naaibika kwa kuingia period bila kujua.

Pole sana cute...
Ndio uwanawake huo
Hongera aisee
Mimi likinizingua Huwa naganda siwez kusimama Wala kutembea Yan natambaa kabisa unafuu Hadi nitapike
Karibu na period maumivu na kuharisha lazima siku ya kwanza
 
Kwa maelezo yako hizo zinaweza kuwa dalili za tatizo linaloitwa secondary Dysmenorrhea. Haya ni maumivu makali na muda mwingine huweza kudumu kwa kipindi kirefu zaidi ya kipindi cha hedhi na yanatokea wakati wa hedhi. Baadhi ya wanawake hufikia hatua ya kulazwa hospitali hadi muda wa hedhi utakapoisha.

Wanawake wengi wenye maumbo yanayowavutia wanaume mara nyingi huwa na tatizo hili (utafiti wangu) na isitoshe nawe una umbo la namna hii😂

Sababu kuu ya tatizo hili inakisiwa kuwa ni ulemavu wa kiungo katika mfumo wa uzazi (disorder in the reproductive organs). Ninaweza kukubaliana na makisio haya kwa sababu wanawake wengi, kama siyo wote, waathirika wa hali hii, huwa wanayo shida ya kupata watoto.

Hivyo, ninakushauri. Tafadhali, kutana na daktari bingwa wa magonjwa ya kinanama kwa ushauri zaidi wa kitabibu. Achana na bush doctors la, sivyo, utakuja kujuta baadaye.

POLE SANA.
Asante kwa ushauri mzuri kiongozi...nitaufanyia kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom