Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
1. Beba mimba hiyo hali itaisha hasa ukishajifungua.

2. Kapime Ovary cyst Wakati mwingine inawezakuwa sababu.

3 inaweza kuwa ni chango. Tafuta dawa za chango.
Hii inapelekea Homoni imbalance, gesi ambayo ni sehemu ya sababu zinachochea maumivu kama yako hasa nyakati ukiwa mwezini

Angalizo: Usitoe Mimba yoyote ile, pia usitumie uzazi wa mpango kama bado huna moto.

Jitahidi utafute mtoto mapema kwa sababu Watu wa aina yako mimba huwaga zinasumbua, aidha kwa kutoingia kirahisi na zingine zikiingia zinatoka au kutishia kutoka.

Mwisho, Muone Daktari hasa specialist wa magonjwa ya uzazi kwa kinamama.
Asante ushauri kiongozi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom