Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Kijana namba yake ndio ile ile?🤣Niache 😂😂😓
Nimtwangie kuwa unatumia dawa hivyo afanye juu chini kazi iishe ili tuepuke kelele za maumivu yenu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana namba yake ndio ile ile?🤣Niache 😂😂😓
Zinaweza kumuua figo ndani ya sekunde akapata janga baya zaidi kuliko hili. Inapaswa kuzitumia kwa ushauri wa daktari tena daktari bingwa. Bush doctors ni hatari kwa afya yake.Dawa mbaya sana hizi ukizitumia ovyo.
Usiogope.Mbona unanitisha mkuu😓
Eeeeh 🤣aweke tafsida kwenye bandiko juu kule, mie hali tete
ila mi pia nakazia ile namba #1
Nimetumia ibrufen, nimetumia diclopar MR, erythromycin pia
Yani lidaktari natoa ushauri wewe unaukataa?Prednisolone hazihusiani na unachopitia
Hiyo buku nitumie mie niunge bando
hapana kwa kweli, andiko tu linanitoshaunataka kuona alivyoorodhesha
Nenda hospitali niliambiwa hivo ni dawa napona lakini nikienda tu tayari😀😀Hapa naona bora kwenda hospital tu my friend maana 🤦♀️🤦♀️
pole sanaNi tumbo la period kipenzi
Yani lidaktari natoa ushauri wewe unaukataa?
Andiko tu Ume fill up 300ml bottle tayari kwa michezo yako🤣hapana kwa kweli, andiko tu linanitosha