dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hapana, wacha nivumilie, kwa yeyeAndiko tu Ume fill up 300ml bottle tayari kwa michezo yako🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana, wacha nivumilie, kwa yeyeAndiko tu Ume fill up 300ml bottle tayari kwa michezo yako🤣
Nitampitisha akitoka kazini mimi ni tuktuk driver wake🤣hapana, wacha nivumilie, kwa yeye
Are you in P babe?Habari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu yake ni shida khaa!🤨🤨
Kuja sehemu nyingine huku chini ni kama sindano zinachomwa chomwa huko ndani, ni full shida yaani haaaa.😭😭😭 Hapo bado uje kwenye matiti ni yanauma jamani,😥😥 yamesimaa halafu ni mekundu, yaana moto kama sijui kitu gani yaani, bra yenyewe nimepata shida kuvaa maana nikivuta tu mkanda nasikia maumivu sio ya nchi hii.
Yaani nimekunywa dawa zote unazozijua za kutuliza maumivu lakini wapi.😓😓 Wakasema ninywe maji ya moto ila nakaribia kumaliza chupa hapa lakini sioni dalili ya maumivu kupungua, mkojo tu unabana nikienda chooni kuchuchumaa nako tabu haaaa!😖😖
Yaani hapa niko ofisini siwezi kukaa, natembea tembea tu muda wote, nasubiri kila mtu aingie ofisini kwake nibebe PC yangu nikajilaze kwenye kochi la wageni pale reception. Maana nina tabu jamani kusimama muda wote, nikisema nikae yaani kama nakalia sindano haaa!😭😭
Wenzangu mnawezaje kuzoea, maana mimi nashindwa jamani? Sijui Mungu aliwaza nini kuniumba wa kike, naumia mwenzenu, 😥😥😥nifanyeje eti?
😂😂😂Kwakweli mwenyewe nimeogopa😃🤦♀️
mpaka Mvuti ?Nitampitisha akitoka kazini mimi ni tuktuk driver wake🤣
Usipende kusikiliza watu wa mitaani tumia dawa flani, tumia kile.Mbona unanitisha mkuu😓
JiheshimuUjue Umenidindisha kikumaa asee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani sitaki mtu aniongeleshe kabisa,, naweza nimzabue mtu makofi asubuhi hii[emoji2955][emoji2955]
I really pitty for themTumia pain killer
Yai linapoachia humo ndani kwenye ovary,lazima maumivu upate,maana huo ni mwili, siyo chuma.
Tumia Pain killer za kawaida tu.. utakuwa poa.
Kunywa na vitu vya uvuguvugu...iwe utaratibu wako kila siku.
Wanawake kupumzika ni juu Mbinguni kwa Baba.
Kupumzika Mp ni hadi ubebe mimba,,
Ni moto juu ya moto,mp unapumzika,ila inaibuka kidedea nyingine ya kulea mimba.
Upo kwenye joto tafuta mtu akupande.Habari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu yake ni shida khaa!🤨🤨
Kuja sehemu nyingine huku chini ni kama sindano zinachomwa chomwa huko ndani, ni full shida yaani haaaa.😭😭😭 Hapo bado uje kwenye matiti ni yanauma jamani,😥😥 yamesimaa halafu ni mekundu, yaana moto kama sijui kitu gani yaani, bra yenyewe nimepata shida kuvaa maana nikivuta tu mkanda nasikia maumivu sio ya nchi hii.
Yaani nimekunywa dawa zote unazozijua za kutuliza maumivu lakini wapi.😓😓 Wakasema ninywe maji ya moto ila nakaribia kumaliza chupa hapa lakini sioni dalili ya maumivu kupungua, mkojo tu unabana nikienda chooni kuchuchumaa nako tabu haaaa!😖😖
Yaani hapa niko ofisini siwezi kukaa, natembea tembea tu muda wote, nasubiri kila mtu aingie ofisini kwake nibebe PC yangu nikajilaze kwenye kochi la wageni pale reception. Maana nina tabu jamani kusimama muda wote, nikisema nikae yaani kama nakalia sindano haaa!😭😭
Wenzangu mnawezaje kuzoea, maana mimi nashindwa jamani? Sijui Mungu aliwaza nini kuniumba wa kike, naumia mwenzenu, 😥😥😥nifanyeje eti?
Utanielekeza hiyo sehemu,ondoa shaka.mpaka Mvuti ?