Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
Pole kipenzi ila jitahidi uonane na daktari wa wanawake.
Maradhi mengi ya wanawake ya uzazi huwa dalili zao kuu ni maumivu makali wakati wa MP. Ni kawaida kusikia maumivu ila hayapaswi kuwa namna hiyo.

Get well soon
Asante ciccy,, naufanyia kazi ushauri wako
 
Hongera dada, mie kwanza sijawahi kuelewa tarehe maana naona zinanivuruga tu, hazieleweki
 
Mkuu wewe ni Dr? Nina shida ya kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi
 
Asante sana kipenzi
 
Kienyeji nakushauri, kama kuna mwanamke wa kihaya mtu mzima jirani yako, muone akumalizie matatizo yako.

Inaweza kuwa UTI tu inakusumbuwa au kingine chochote. Wanawake (watu wazima) wa kihaya ni mabingwa kwa mambo hayo.
Asante bibi.... barikiwa sana🙏🙏
 
Pole sana,

Wenzio tunagonga 15yrs, na hilo tumbo, vikibana sana sijizuii nalia . nishatumia dawa zote lkn wapi,


Na nikiwa hivyo haifichiki kama pembe la ng'ombe.
Yani sijui mwisho wake lini haaa😭😭😭
 
Mkuu umefufuka tena[emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…