Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

Kila mtu na wakati wake. Kama ulishaolewa na kuzaa ni vyema ungejikita kwenye namna bora ya kuwashauri kuwa kwenye ndoa na kulinda mahusiano yao.
Hakuna anayemjua mwenza kiundani mpaka aishi nae kwa muda.
Ungeanzia pale ambapo changamoto zitakapotokea na namna ya kuzikabiri

Kama kuchunguzana ingekuwa inaleta matokeo chanya, sasa usingesikia changamoto zozote. Maana hakuna anayekurupuka kuolewa. Asante
 
Kabisa dear watu wanalia kilasiku
Ndoa zimekuwa ngumu wanawake 5 kati ya ninsowajua wanne wanajutia kuolewa hali ni mbaya sana

Lkn mwisho ya yote familia itabaki kuwa familia tu Ina umuhimu wake pia japo sio kitu Cha kukimbilia
 
Ujengewe sanamu. You're so matureπŸ‘
 
Sijasoma yote nimeishia mstari wa pili tu

Ipo hivi, hakuna mwanamke mwenye sifa za kuwa mke anafikisha miaka 27 bila ndoa

Nimeoa binti wa miaka 24 mwaka juzi, alianza kuchumbiwa akiwa na miaka 17, na alikuwa anakataa posa

Na nimemkuta ana Bikra zote
 
Pole single Maza uliyekosa wa kukuoa kisa Tabia mbaaaaya
 
Ujengewe sanamu. You're so matureπŸ‘
Alhamdulillah ninaelewa
Bahat nzuri napenda feedback nilikuwa namsema sana x boyfriend Kwa tabiazake kias Kwamba nikawa naona ana madhaifu mengi sana simuwez Ilikuwa kweli lkn siku niliamua aniambie ukweli namna nilivo nilistaajabu mwenyew jinsi NAmi nilivo mdhaifu na Nina madhaifu na makosa mengi aliamua kukaa kimya hakunambia
 
Mahusiano hustawi kunapo kuwa na effective communication, inabidi partner wako awe best friend kwanza. All in all ni pale mnapojifunza kutunziana madhaifu.
 
Mahusiano hustawi kunapo kuwa na effective communication, inabidi partner wako awe best friend kwanza. All in all ni pale mnapojifunza kutunziana madhaifu.
Exactly πŸ’―
Pia ujue kilamtu hawez kuwa kama wewe kunavitu mtabond na vingine hamuwez kubond
 
Vimario havitaki ndoa, vinataka vilelewe na ndiyo maana naona havitawafaa.
Kuhusu vigezo, wamekusikia. I hope na wewe umesoma reply zao na kuwaelewa.
 
Kabisa, umenena vyema sana maana si kwa mapovu haya.
 
Dah huyo jini hajielewi hivi anajua options ulizonazo lakn?? Pole sana Madam.

Kwa niaba ya wanufaika vocha wote za huyu mrembo tumlaani huyo jini kisirani, kingine fungua p.m basi nawewee maushauri mengine hayafai hadharani bwana πŸ€ͺ
 
Umeona ni kikao cha wanawake, umejikaribisha na kuwa mchangia mada mkuu - reply zaidi ya 10, umepita wanawake wote kwenye hii nyuzi kwa kutoa mapovu na kuchamba.

Aiseee
 
Bantu, umesema yote, uliyepangiwa na Mungu atakuja tu kwa wakati sahihi hakuna haja ya kung'ang'ania.
Ndiyo, sehemu kubwa ya mahusiano ni kuvumiliana, ila kuignore red flags ni makosa sana.

Namjua mdada alikua anapigwa na boyfriend wake toka tuko chuo wakiwa wanadate ila bado aliendelea naye akiamini atabadilika. Wako kwenye ndoa miaka mingi sasa na anateseka, alishadundwa mpaka sasa hivi hasikii vizuri, kapewa ulemavu wa kudumu kwa vipigo πŸ€¦πŸΎβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…