ni kweli haujakosea ila ni vyema unapomchukua mtoto uangalie vitu viwiliInahitaji tafakuri si kila mara ni sahihi kufanya hivi. Kuna mijimama mingine haijielewi bora tu kumchukua mtoto akawa chini ya himaya yako
ila ukweli unajua "humpendi na wala humchukiii" ila unatimiza wajibu wako kama mzaziNalea mtoto wa mume wangu, ni mdogo kuliko mwanangu. Simtesi wala simnyanyasi ila namlea kwa uangalifu sana. Najua akilia kidogo tu watu watasema namtesa.
Hata wakikosea wote namchapa wangu tu kwa kisingizio kwamba yeye ni mkubwa. Wamepishana mwaka mmoja.
Huwa najisikia vibaya sababu najua siwapi malezi sawa ila naogopa kusemwa semwa kuwa namtesa.
Hapo tu kwa Baba wa kufikia kumpenda mtoto wa mkewe 100% huo ni ukweli kabisa.!! Tena anaweza mpenda kuliko mwanae wa kumzaa endapo mtoto huyo akimtii.!! Na mfano hai hapo ninao kiukweli.!100% mwanaume mwingine ana uwezo wa kumpenda mwanao kama vile ni wake
ila hamna mwanamke wa kumpenda mtoto wa mwanamke mwingine (tena aliezalishwa na mume wake)
kama wake aliyemzaa.
Uwezo huo wanao wanaume TU.
Hapo tu kwa Baba wa kufikia kumpenda mtoto wa mkewe 100% huo ni ukweli kabisa.!! Tena anaweza mpenda kuliko mwanae wa kumzaa endapo mtoto huyo akimtii.!! Na mfano hai hapo ninao kiukweli.!
Nalea mtoto wa mume wangu, ni mdogo kuliko mwanangu. Simtesi wala simnyanyasi ila namlea kwa uangalifu sana. Najua akilia kidogo tu watu watasema namtesa.
Hata wakikosea wote namchapa wangu tu kwa kisingizio kwamba yeye ni mkubwa. Wamepishana mwaka mmoja.
Huwa najisikia vibaya sababu najua siwapi malezi sawa ila naogopa kusemwa semwa kuwa namtesa.
Ila upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kuhamishiwa kwa mtoto mwingine. Hatakama simchukii lakini upendo wangu kwake ni wa kawaida tu.
lakini zuu unajua huwezi muhudumia mtu usiempenda,unajua hilo kweli?Jamani tutofautishe kupenda na kuhudumia. Hata wanawake wanawalisha, wanawavisha na kuwaogesha hao watoto kama wajibu tu. Hayo ya kumpenda kuliko mwanae wa kumzaa ni maigizo tu kama ambavyo wanawake huigiza.
switihati, these ain't bare words, I am talking about 'Experience'.. A reality observation..!!Jamani tutofautishe kupenda na kuhudumia. Hata wanawake wanawalisha, wanawavisha na kuwaogesha hao watoto kama wajibu tu. Hayo ya kumpenda kuliko mwanae wa kumzaa ni maigizo tu kama ambavyo wanawake huigiza.
100% mwanaume mwingine ana uwezo wa kumpenda mwanao kama vile ni wake
ila hamna mwanamke wa kumpenda mtoto wa mwanamke mwingine (tena aliezalishwa na mume wake)
kama wake aliyemzaa.
Uwezo huo wanao wanaume TU.
Kwahiyo mkuu unatushairi Nini ambao hatuna Watoto na hatujaoa!!Hamna mahali popote pameandikwa mwanamke utakae zaa nae ndio unatakiwa umuoe awe mke waako wa ndoa"hakuna".
Ila pia hakuna mahali pameandikwa kwamba mwanamke utakae mzalisha usimpende wala usimpe huduma zote muhimu "hakuna"
Mwanaume unaweza kuwa ulishawahi kuwa na mtoto kwa mwanamke ambae si mkeo kwa sasa so kutokana na kujitambua kwako ukaona uendelee kutoa huduma zote za muhimu kwa mwanao kwasababu unajua fika ile ni damu yako,na hakuna mwingine wa kufanya hivyo zaidi yako.
Bahati nzuri ni kwamba mama mtoto wako (yule x) Anaolewa na mwanaume mwingine na Maisha yao kiuchumi si mazuri. Hata wewe umeona,unaamua kumwomba mama mtoto wako (yule x) umchukue mtoto ili asiteseke unamleta mwanao. Kuja kulelewa na mkeo nyumbani (makosa makubwa sana haya)
Acha nikwambie kitu,
Mkeo hatakwambia simtaki huyo mtoto (ila moyoni mwake kashakwambia)
Mkeo hatokwambia hapendi hata kumuona huyo mtoto (ila moyoni mwake jua hampendi)
Mwanaume wewe unamleta mwanao ukiamini atapata upendo kama wa kwa mama yake (unajidanganya)
Hata kama mama mtoto wako (yule x) utamuona anapitia maisha magumu kwa asilimia 200 usije thubutu mpokonya mtoto. Uje umlete kwa huyu mkeo ulie nae,Pamoja na shida atakazopitia mama mtoto wako (yule x) hatoruhusu shida zile zimpate
Mwanae na hata kama zikimpata mwanao mama yake atajua jinsi ya kumpa maneno mazuri ya kumbembeleza ajione naye yupo kawaida. Wanaume nataka tu muelewe jambo 1 hao wanawake mliowaoa (anakupenda wewe tu) usije jidanganya atampenda.
Mtu mwingine tofauti na wewe na wanae wa kuwazaa. Jitahidi uwezavyo kama una mtoto nnje na ulikua na mpango mwakani (umchukue uje uishi nae), acha maana unamleta jehanam mtoto wako mwenyewe (usijipe moyo kwa matendo yanayofanywa na mkeo ukiwepo) acha huo ujinga.
Muache mtoto wako huko huko kwa mama ake kama ni matumizi mtunze akiwa huko huko kwa mama ake. Kama unahisi unampenda sana huyo mwanao hutaki ateseke (mrudie mama yake muoe). Sasa jitie kichwa ngumu (mletee mkeo mtoto wa mwanamke mwenzie) utaona what next.
Wanawake ndivyoo hivyo walivyo, waelewe then ishi nao kwa akili mingi mingi.
View attachment 1249705
MTOTO SI WAKO BWANA ok iko hivi
ex wako hakai na mtoto kampeleka kwao huko kwa bibi(mama wa ex wako)
kwanza utambue wewe hujui familia ya ex wako yani (mama ake na ndugu zake huko wanaishije na wakoje)
kwa kua kashadhihirisha hawezi kaa na mtoto basi Tumia fursa hiyo kwenda kumchukua mwanao kisha mpeleke
kwa Bibi ake (mama yako wewe) kisha mtunze mwanao akiwa kwenye sehemu uliyo na uhakika nayo.
Mwanamke akikuruhusu ukamfate mwanao na unajijua umeshaoa USIKATAE mkimbilie mfate mtoto wako then
Fanya kile kile nilichokwambia hapo juuuu (mpeleke kwa bibi ake "mama ako wewe")
tunawapondaga wao mkuuuu ila si watotoMkuu wanaume mngekuwa hivyo msingekuwa mnawaponda single mothers kila siku na kusema kuwa hawafai kuolewa eti kwa sababu wana watoto, wakati huo huo wanawake wana uwezo wa kukubali kuolewa na single fathers bila kuangalia watoto.
mkuuu hapa tunajadili na haina maana ninachokiandika ndio kiwe sheriaMkuu mbona unaongea mambo ya kufikirika tu yasiyo na uhalisia?? Hivi mfano huyo mwanaume naye wazazi wake wote walishafariki na ex wake ndiyo kaamua hivyo atafanyaje??
kuwa makini sana sana mkuuu na mwanamke unae fanya nae mapenzi na unaona kabisa HUYUKwahiyo mkuu unatushairi Nini ambao hatuna Watoto na hatujaoa!!
Maana ndo tunakokuja huko muda si mrefu.