My parents choice can never be mine sawaThen in your jouney for searching a rich husband don't blame men who refuse to sponser your lifestyle, insteady blame your broke father and mother, because those are the one who failed you.
Mallerina kadogo2 ila unajua moja ya complication ya nyie wanawake kutaka kuolewa na wanaume matajiri inakuja wapi.Ushawahi kuona tajiri anaoa bikra
Yaani matajiri wengi sana wanaoa wanawake hao ambao ninyi mnawaponda na baadae mnakuwa vibenteni vyao 🤣🤣
Unataka nani apate hao rich men kama sio Mimi.....Mallerina kadogo2 ila unajua moja ya complication ya nyie wanawake kutaka kuolewa na wanaume matajiri inakuja wapi.
Wanaume wengi matajiri hawana muonekano mzuri unaowavutia wanawake, umeolewa na mume tajiri ila huna hisia nae sababu mfupi, ana kitambi, sura mbaya, over age..
Unazoea lifestyle la kitajiri, ila baada ya mda nature kicks in, unahitaji mwanaume unaevutiwa nae kingono, hapo unafanyaje zaidi ya kuungulia ndani, kimoyomoyo unaona aibu hata kuongozana na mmeo
You didn't understand my comment. I agree with you, it's your choice. What i mean is, in the journal to fullfil your choice don't blame another men who came to hit and run or refuse to sponser the extravaganza life style you demand, insteady blame your broke father who failed to give you that life you are searching through sucking community cocks and fvcking with strangersMy parents choice can never be mine sawa
She chose a broke guy so neither do I
I have taste for rich men
Dada twende tu na kiswahili,its clear haupo vizuri kwenye English. Grammar yako inasema kila kitu.I want a man who is already focused not waiting me so he focus
Hebu ngoja kwanza unajua hata ww bado unaongelea matajiri😆😆😆Unachanganya Umasikini na maisha ya kipato cha kawaida. Kwa Tanzania masikini tafsiri yake ni hauna sehemu ya kulala yaani pahala pa kuishi,hauna mavazi,chakula shida, mawasiliano shida.
Wanaume wanaowakwepa au kuwaletea mapozi ni anakaa nyumba ya kupanga ya chumba sebule au chumba kimoja ila master bedroom,ana usafiri pengine ni boda boda au baby walker kama IST au Passo, anakipato cha kuanzia laki 5 au 7 kwa mwenzi na hapo anaweza kuwa na maokoto mengine ya katikati ya mwezi.
Huyu kijana wao humuona bado sio standard kwao. Wanataka ambaye anatokea familia za kishua baba ana pesa mama anapesa,wanamiliki magari 10 yamepaki hapo nje. Myumba zaidi ya idadi ya watoto kwenye familia, kijana awe amesoma nje ya inchi na kadhalika,awe na maokoto ya mwezi kama milioni 3 au 5 kwenda juu. Familia yake wawe watu wa connection za kimafanikio.
Sasa kwa style hii unategemea kuna kuolewa kwa wakati kweli? Wanamtafuta mtu ambaye kukutana nae ni nadra sana na wakikutana nae then kuna wanawake zaidi ya buku wanamfukuzia wapate chance kwake.
Umasikini ni hali ya kiuchumi ambayo ukiwa hauitaki unaweza kuibadili na kuwa aidha mtu wa kipato cha chini,cha kati,cha juu au tajiri.Hebu ngoja kwanza unajua hata ww bado unaongelea matajiri😆😆😆
Mleta mada anaongelea mtu ambae anajitafuta mwingine hata kupanga hajapanga! Au kapanga getto la giza au umeme tu ana godoro na ndoo 2 maisha bado papatupapatu hata account bank hana mana hana cha k
Anyway; tujikite kwenye mada.Umasikini ni hali ya kiuchumi ambayo ukiwa hauitaki unaweza kuibadili na kuwa aidha mtu wa kipato cha chini,cha kati,cha juu au tajiri.
Aina ya maisha uliyosema hapo ni ya mtu ambaye amejijua kuwa yupo kwenye umasikini halafu amechagua kuishi ndani yake yaani awe masikini na ndio maisha atakuwa nayo.
But mtu niliyemuongelea ni aliyechagua kubadili hali yake ya kiuchumi ili aishi kawaida yaani kipato cha kawaida ambayo ni hali nzuri ila wanawake huwa wanahisi ni masikini.
Asante,umekula lakini? Kuna hii sehemu hapa mikocheni wana chakula kizuri,nikawazia niende siku moja ,kama haitakuwa too much kwako nitafurahi ukinijoin.Anyway; tujikite kwenye mada.
Thanks
If you don't understand English better zip your mouth😹😹😹😹Dada twende tu na kiswahili,its clear haupo vizuri kwenye English. Grammar yako inasema kila kitu.
Turudi kwenye mada,unataka mwanaume ambaye tayari yupo focused ukimaanishaje?
Kwan kuna mwanaume utakutana nae halafu asiwe focused?
Me nadhani wewe ni muoga wa maisha,na ulichomaanisha ni unataka ukute mwanaume ambaye tayari ameshajikamolisha,ana pesa,nyumba,magari, biashara ndio focus yenyewe hiyo unayomaanisha.
Sasa mwanaume ukishamkuta kafikia hatua hiyo unadhani ni wewe pekee yako ndie utakuwa unamuwania awe wako?😂😂
Hapo utakutana na wadangaji wenzako kama 50 hivi. Me nadhani zingatia jambo moja, kuwa tamaa ni mbaya na ndio anguko la kila mtoto wa kike karne hii.
Low IQ😂You didn't understand my comment. I agree with you, it's your choice. What i mean is, in the journal to fullfil your choice don't blame another men who came to hit and run or refuse to sponser the extravaganza life style you demand, insteady blame your broke father who failed to give you that life you are searching through sucking community cocks and fvcking with strangers
Sema sisi matajiri hatupendi bikra yaani niteseke kutafuta Hela na nitese kuitoa bikra?Mwanamke mwenye haki ya kutaka mwanaume tajiri ni wale bikra tuu.
Kwan hy bikra unaitoa kwa siku ngapi? Ww utakuwa na matatizo kama unaogopa kutoa bikra.Sema sisi matajiri hatupendi bikra yaani niteseke kutafuta Hela na nitese kuitoa bikra?
Elewa neno wenye hakiKumbe? Na Hamisa Mobeto?
Kabisa mkuuHuo ni ukweli usiopingika,kupuuzia hilo suala,ndo linataka kupelekea kuhalalisha hadi wadada wanaozalishwa kabla ya kuolewa kuwa si kosa kimaadili.Tungebana hapo pa kusisitiza ubikra,maadili yangerudi kama mwanzo.
Mbona zamani waliweza?
Hapana,Wewe mbona unatupangiaga kuamini kua Mungu hayupo Kiranga
Hahaha mambo nnayopenda mm 😆😆 Astagfillulah mikocheni ipi jamaniAsante,umekula lakini? Kuna hii sehemu hapa mikocheni wana chakula kizuri,nikawazia niende siku moja ,kama haitakuwa too much kwako nitafurahi ukinijoin.