Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kutoa taarifa ni muhimu lakini tafuta details za kutosha.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Goli moja Kwa Mil 10 Kwa timu yenye wachezaji zaidi ya 20,viongozi,makocha,benchi la ufundi & so forth utalinganisha na namna Kila mtumishi alivyohaha na wengine kufukuzwa kazi sababu ya Hanang...
Bora hata yeye anayekumbuka kuliko waliokuwa wabunge wa maeneo hayo na walikuwa wenye nyazifa nzito na ushawishi kuwasikia walau wakisema au kuchangia chochote..
Sina hakika kama serikali itaacha kuwajengea makazi ya kudumu waathirika maana kilichojitokeza ni case study ya muddy flow/land slide katika vyuo na taasisi za Elimu Nchini.