Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.

Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?

View attachment 2839872View attachment 2839873
Kutoa taarifa ni muhimu lakini tafuta details za kutosha.
Goli moja Kwa Mil 10 Kwa timu yenye wachezaji zaidi ya 20,viongozi,makocha,benchi la ufundi & so forth utalinganisha na namna Kila mtumishi alivyohaha na wengine kufukuzwa kazi sababu ya Hanang...
Bora hata yeye anayekumbuka kuliko waliokuwa wabunge wa maeneo hayo na walikuwa wenye nyazifa nzito na ushawishi kuwasikia walau wakisema au kuchangia chochote..
Sina hakika kama serikali itaacha kuwajengea makazi ya kudumu waathirika maana kilichojitokeza ni case study ya muddy flow/land slide katika vyuo na taasisi za Elimu Nchini.
 
Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.

Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?

View attachment 2839872View attachment 2839873
Una matatizo makubwa kichwani hususani ya uelewa wako ni finyu sana.

Ulipo hapo upo upo tuu kama kopo,hujui kwamba Nchi Inatekelezwa dira ya 2025 na Sasa tunaandaa dira Mpya ya 2050.

Pili huelewi kwamba Nchi imebadili mitaalama Ili kuja na Tanzania Mpya ambayo ita shape local thinking uliyonayo na kuwapa Vijana maarifa mapya Kupitia Elimu.

Na mengine meeeengi ambayo na hakika hujui chochote kinaendelea kweykilimo,Utalii, Mageuzi ya mashirika ya Umma,kwenye mambo ya uwezeshaji Wananchi kiuchumi nk nk.
 
Uhai wa mtu hauthamsnishwi kwa viwango vya fedha. Hizo ni fedha za rambirambi. Rambirambi haina kiwango.
 
Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan ila kweli kuna washauri wake nadhani walipaswa kuwa wasanii na kazi ya kumshauri Rais wawaachie watu wengine. Ni kama Rais anashindana na kivuli chake. Nikitazama ishu ya kuchangia matibabu ya kiongozi aliyekuwa Mbunge apate matibabu ya figo na agizo kwa wizara ya afya nabaki kujiuliza malaki ya maskini wenye shida hiyo ambao hawana influence wanachangiwa milioni hizo na nani? Kwanini Prof. Jay mwenye network kubwa hivyo nae achangiwe na Rais? Kwanini tusiweke mazingira mazuri zaidi ya wenye kupata shida hii kupata ufadhili wa matibabu kama yeye? Lengo ni nini? Kutafuta kukubalika? Mbona aliyofanya yanaelezeka?

Tuje kwenye hili la Hanang, hii nadhani lengo ni rambirambi. Inavyowekwa inakuwa kama vile milioni inaweza replace mtu,makazi,mahusiano yaliyopotea kwa kuondokewa na mtu etc. Sio sawa. Tafuteni namna ya kuwasilisha misaada na kauli sahihi. Hii inakuwa kama shindano,kama ulifiwa na wengi zaidi kiasi kikubwa zaidi. Utafanya hivyo wakifa watu milioni moja kwenye maafa? Yakifuatana maafa? Tuboreshe mfuko wa maafa na tujiandae kukabiliana na matukio hatari.

Rais wangu Samia nia ni njema,approach ni mbaya na sio sustainable.
 
Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?

Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?

Nani mshauri wa raisi?
si wameambiwa walio hai watajengewa nyumba au sikusikia vizuri?

Sasa je ni bora kuwahudumia walio hai ambao wanahitaji msaada zaidi.
 
Marehemu wapo 80 tu ×milioni 1 = milioni 80. Lkn kwenye magoli kishatoa zaidi ya milioni 200. Huyu rais ama kituko?
Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.

Kama ulikuwa masikini, usije trgemea rambirambi zikutajirishe.

Rambirambi ni sehemu ya pole na faraja kwa wafiwa, na ni zoezi la haraka ili kuwasaidia wafiwa wakati wa siku za msiba.


Hakuna pesa yoyote itakayoendana na thamani ya uhai wa mtu..
 
Sasa unaambiwa chadema wametoa mamilioni ya fedha ila hawajui ni sh ngapi mana zilikuwa nyingi sana hvy wakashindwa kuzihesabu wakaamua kuzibeba hvy hvy bila kuzihesabu

Erythrocyte

Acha uchawa. Unailinganisha CHADEMA na serikali. Serikali yenye mfuko wa maafa na Bajeti ya zaidi ya Trilioni 40?. Be serious.
 
Hv unafatilia ht vyombo vya habari au ww nae ni mpuuzi kama mtoa mada.? Serikali imetoa zaidi ya B ila hizo zinakwenda kwenye familia moja kwa moja kwa waliofiwa

Hizo B imetoa kwa nani?. Tuache assumptions.
 
Back
Top Bottom