Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

Kipindi cha dikteta Magufuli tumepata majaji wengi wa hovyo kuliko wakati wowote
 
Angesema Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu ndiyo ungeona kwamba ana uwezo mkubwa?

Wachunguze kwanza mawakili wa utetezi na ujilidhishe kama wanao uwezo mkubwa wa kuitafasili sheria. Kwani maswali waliyokuwa wakiwauliza mashahidi wa upande wa mashitaka hayakuwa yakihusiana na facts za kesi. Wengi wenu mkimuona shahid anajibu kwamba sijui mnachukulia kwamba amebugi kumbe anajibu hivyo kwa kuelewa kwamba swali aliloulizwa halihusiani na kesi inayobishaniwa.

Chukulia mfano maswali aliyekuwa akiulizwa Inspector Swila÷

[emoji117]Dr aliyekuwa alikutibu anaitwa nani [simjui]

Swali hilo linahusiana na kesi?
 
JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective

Ungeenda kutoa taarifa ili uwe objective.
 
Majaji michongo utawapata Tanzania hapo jirani Kenya hakuna uboya kama huu Jaji akizingua anapandishwa kizimbani mpaka uwe Jaji vigezo na masharti vina fuata sio bongo ukimfurahisha Mwenyekit wa ccm umeula

Kwenye nchi zenye mirengo ya kijamaa, kigezo cha kwanza kuwa kwenye taasisi za umma ni kiwango cha kujinyenyekeza kwa watawala, kisha sifa nyingine hufuata. Tatizo linakuwa kubwa zaidi kama serikali hiyo iko madarakani kwa kupora chaguzi za nchi. System inatengeneza mfumo wa kihalifu ili kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.
 

Sishangai kuwa na reasoning ya namna hii, maana elimu yetu inafundisha watu kujibu mtihani na sio logic. Hii ndio sababu unakutana na wasomi wengi wanaopigania ajira ili wakae ofisini, lakini hawana uwezo wowote wa kiutendaji. Ulichosema ww hapa ni maajabu ya hukumu za mahakama, lakini sio maamuzi yenye logic. Ni hivi, haki hutakiwa kutenda na ionekane inatendeka, na sio hakimu kuamua kutokana na utashi wa watunga kesi,kisha msememe kuna ufundi wa maajabu kwenye sheria.
 

Sasa hivi ni tii shuruti bila sheria.
 
Magu ndiye akiyefanya fani hii kuwa ya hovyo kwa kuteua wa michongo kama Siyani na mwingine kwa kuandika tuu hukumu kwa kiswahili ( hakuwa anaumahiri kwenye lugha ya kiingereza Kama aliye mteua)
Hivi majaji kama wale wa Tume ya uchaguzi na Msajili. Wa vyama si vituko tuu🤔
 
JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective
Unamaanisha nini?
 
Warioba ni Jaji ila hajawahi kuwa Fanya Ujaji katika mahakama za Tanzania
Masters yake alisomea usukuhishi wa migogoro ya baharini na baada ya kuhitimu alifanya kazi katika Tume moja huko Ujerumani ndio akapata cheo cha Ujaji.
 
Majaji michongo utawapata Tanzania hapo jirani Kenya hakuna uboya kama huu Jaji akizingua anapandishwa kizimbani mpaka uwe Jaji vigezo na masharti vina fuata sio bongo ukimfurahisha Mwenyekit wa ccm umeula
Mfumo wa kuwapata majaji ni dhaifu sana, baadhi ya majaji wana kadi za chama tawala
 
Kwa uchaguzi mkuu uliopita ulivyoibiwa hadharani watz wakasema tunamwachia Mungu, hata Mbowe akifungwa tutamwachia Mungu
 
Hapana mkuu.
Si kupewa tu! Hata Kingwendu anaweza kuwa CJ! si unapewa kirafiki... Idd Amin si alikuwa Rais wa Uganda na ni darasa la nne! ( najua ni kwa kijeshi, but alikuwa Rais)
 
Wakoloni wote huwa na mawazo ya nyodo kama haya🙄
 
Tatizo ni mhimili mmoja uliojichimbia chini sana umepoka mamlaka ya mihimili mingine.
Matokeo yake mihimili isiyo na mizizi mirefu inaburuzwa na kuendeshwa bila weledi!
 
Halafu wengine wanataka mpaka washinde wao ndo Jaji yuko fair.
Comment yako iwekwe lamination jamaa wanataka kila kitu washinde wao tu.iwe tofauti unatungiwa majina Kama yote Mara jaji wa michongo
 
Nikiwa nimemaliza form six Bab angu moja kwa moja alifika chuo Cha hija kwenda kunichukulia fomu ya kujiunga na chuo Cha HIJA nasikitika sna kwa kumdispoint mzee wangu kwani nilikatah hbr hzo
Leo ingekuta nawapeleka watu kifungoni yaani kwa maelekezo kutoka juu juu
 
Akihukumiwa sabaya, jaji anafanya kazi nzuri, mbowe akikutwa na mashtaka ya kujibu majaji wanaonekana wa hovyo. Yaani ni vituko

Sabaya wala haiukuhutajika kujua kuwa alikuwa ni muovu aliyekuwa anatumikia siasa za kidhalimu za Magu. Na kwa taarifa yako kama hiyo mahakama ingekuwa huru, Sabaya alitakiwa kunyongwa na sio kufungwa. Watu hawaisifii mahakama kwa kumfunga Sabaya, bali wanasema kuna mahali Sabaya alileta dharau kwa chief Hangaya kipindi cha yule kiongozi muovu wa chattle. Hivyo hilo suala la watu kuisifia mahakama kutokana na hukumu wa Sabaya ni ww unasema, Lakini hakuna mtu mwenye akili timamu anaisifia hiyo mahakama ccm.
 
Hongera unesema vizuri snaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…