MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hahaha ana taka ndoa mimi bado sitaki kwao atulie kwao,Nikutagg kaka amini nakuambia!
Utakua hukuiona sababu Notifications zilikua nyingi 🥹
Kwao anafanya nini tena 😂!
😂😂😂!Hahaha ana taka ndoa mimi bado sitaki kwao atulie kwao,
Nikiwa tyr ntamchukua 😂
Watu wa mbeya hawapendi kurudi kwao sababu kuna baridi na upepo mbaya ndiyo maana wengi hujenga na kuweka makazi mikoa mingine, mwaka juzi nilienda mbeya kwa jamaa yangu nilipanga kukaa wiki lakini siku mbili tu zilitosha sikuwa na hamu tena na mbeya sikupapenda Kwa kweli kuoga mpaka uchemshe maji kulala mpaka blanketi mbili sina hamu na mbeyaMbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!

Ndiyo kaka..... Uzi nimeuona lakini sasa nina mengi ya kuuliza 😂😂 Kama hutojali😂😂😂!
Pamoja mkuu ✊🏿
Uliza uliza, mapema kabla alcohol hazijapanda 😂😂!Ndiyo kaka..... Uzi nimeuona lakini sasa nina mengi ya kuuliza 😂😂 Kama hutojali
Kumbuka mimi sio mboka
Umenijibu kule kuwa privacy muhimu ninazingatia maoni yako mkuu 😂 😂Uliza uliza, mapema kabla alcohol hazijapanda 😂😂!
Why brother?Umenijibu kule kuwa privacy muhimu ninazingatia maoni yako mkuu 😂 😂
Japo i wanna associate with kinda of activities your advice 😢😂
I see life iz too tough aani ....... Ain't know why happen to i,Why brother?
Ni hatari sana!
⚠️⚠️⚠️
We'll talk later bro, uko wapi, uje kwanza tu refresh huku;I see life iz too tough aani ....... Ain't know why happen to i,
Janabi anasemaje?We'll talk later bro, uko wapi, uje kwanza tu refresh huku;
View attachment 3185009
Nipo Dsm brotherWe'll talk later bro, uko wapi, uje kwanza tu refresh huku;
View attachment 3185009
Ok brother am waiting for......We'll talk later bro, uko wapi, uje kwanza tu refresh huku;
View attachment 3185009
Okay I understand, Send me your phone number!Ok
Ok brother am waiting for......
Pm has got technical problem to mine, it's three months now, ain't messaging....
Maybe WhatsApp would be better, if pleases ma brother