Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wachaga wanaenda kuonyeshana tu ubabe wa hela. Wachaga mafukara wana wakati mgumu sana huko migombani. Huko Machame na Marangu kwa muda huu utakuta kuna kijana mdogo kakaa kwenye kiti halafu watu wazima wakiwa wamekaa chini huku kukiwa kuna mtu mzima kaambiwa aachie kiti iwekwe ndoo ya mbege.
 
Nyerere alifanya kazi kubwa sana kupunguza ukabila hili taifa, haya mambo yakianza ukabila utastawi

Hao wanyakyusa wanatunza asili yao kwa kunatiza watoto majina ya kikabila inatosha
Wachaga wanarudi kwao December inatosha
wazaramo hawana dogo kwenye ngoma inatosha
Makabila mengine hupeleka vijana wadogo jando inatosha

Kukiwa na vitu vingi vya kikabila kwa mpigo ni sumu kalo kwenye utaifa
 
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.

Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Watu wa mbeya hawapendi kurudi kwao sababu kuna baridi na upepo mbaya ndiyo maana wengi hujenga na kuweka makazi mikoa mingine, mwaka juzi nilienda mbeya kwa jamaa yangu nilipanga kukaa wiki lakini siku mbili tu zilitosha sikuwa na hamu tena na mbeya sikupapenda Kwa kweli kuoga mpaka uchemshe maji kulala mpaka blanketi mbili sina hamu na mbeya
 
Wale wanaenda kutambika na pesa za masharti wanadanganya wasipoenda mambo yatakuwa vibaya.
 
I see life iz too tough aani ....... Ain't know why happen to i,
We'll talk later bro, uko wapi, uje kwanza tu refresh huku;
940a56c5ead19a22253cf40be8cd3eb8.jpg
 
Jamaa Yuko Uchagani!!
Akitoka huko,atarudi na bonge la bint... la kichaga
 
Attachments

  • IMG-20241225-WA0032.jpg
    IMG-20241225-WA0032.jpg
    50.1 KB · Views: 3
Ok

Ok brother am waiting for......

Pm has got technical problem to mine, it's three months now, ain't messaging....

Maybe WhatsApp would be better, if pleases ma brother
Okay I understand, Send me your phone number!
 
Back
Top Bottom