MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wachaga wanaenda kuonyeshana tu ubabe wa hela. Wachaga mafukara wana wakati mgumu sana huko migombani. Huko Machame na Marangu kwa muda huu utakuta kuna kijana mdogo kakaa kwenye kiti halafu watu wazima wakiwa wamekaa chini huku kukiwa kuna mtu mzima kaambiwa aachie kiti iwekwe ndoo ya mbege.