Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Mmenikumbusha mbali sana,
Siku niko na bibi yangu mzaa baba mi naumwa maleria bibi anataka kwenda kumsalimia rafiki yake upande wa pili toka kwetu.
Ikawa twende hapo jirani tukasalimie mi nikagoma sijiskii vizuri.
Kulikua na kamto hapo mbele kwetu ,namwambia bibi huo mto hapo siwezi kuvuka.
Bibi anasema nakubeba tuvuke.
Haya, nikapigwa pini na mbeleko mpk tunafika kwa jirani bibi hajanishushaπŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£.
Namwambia ilikua tuvuke mto tu , ye yuko we twende kaa hapo.
Toto la miaka 14 enzi hizo nimebebwa mgongoni yaani jirani mwenyewe anauliza toto kubwa hivi unalibeba ?
Bibi hana hata abari jirani anashangaa mi tunafika kwake nimebebwa na bibi
Yaani that was overwhelmed memory sitasahau maisha yote
 
Mwanamke wa kipare ni balaa, hawa na wahaya utadhani ni mapacha.
 
We mpare mla chips za picha ukutani.
Wanawake wa kinyakyusa waliojaaliwa miundombinu ya kimwili tuachie wenyewe.
Umerudi kwa wapare vimbau mbau ni sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…