Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Niliwahi kudate na mwanamke wa kipare, ptuuu!! Sina hamu na wanawake wa kipare.
Wanawake wa kipare ni watamu sana, hasa wale ambao wamekulia upareni. Utamu wao hauna mfano hapa Tanzania.. Speaking with personal experience πŸ™ŒπŸ™
 
Yaani nilivyosoma hii mada kama nawaona kabisa majirani zangu wa kinyakyusa wote wako hivi hivi kama mtoa mada alivyosema,kuna jamaa mmoja anapenda vyeo sana mjuaji sana huwa anaweka TV nje watu wote wanakusanyika kwake kisha yeye anakuwa kama Lufufu kusimulia muvi yote mtaa mzima mnasikia kelele zake,sasa kuna kipindi alipewa cheo cha ujumbe wa serikali ya mtaa basi duh ilikuwa kero mtaani yaani akiwa anapita mitaani akiona vijana wamekusanyika mahali kupiga stori anaanza kuwasumbua"nyinyi mnafanya nini hapa,yaani mnavuta bangi mbele ya Raisi wa mtaa?nitawapeleka polisi niwafunge"[emoji38]
 
Niliwahi kudate na mwanamke wa kipare, ptuuu!! Sina hamu na wanawake wa kipare.
Wanawake wa kipare ni watamu sana, hasa wale ambao wamekulia upareni. Utamu wao hauna mfano hapa Tanzania.. Speaking with personal experience πŸ™ŒπŸ™
 
Umesahau na waha hapo patachimbika
 
Wanyakyusa akili kubwa wewe. Sio kujifanya wanajua kila kitu ni kwamba wanajua kila kitu.
Halafu hii tabia Tanzania ipo sana, watu kuwaona wenzao wajuaji wakati mie huwa naona kuwa ni kweli kuna watu wanajua vitu vingi sio lazima viwe vyote.

Kuwaambia ni wajuaji inakuwa ni aina fulani hivi ya tusi au kuwashade. Wengi wanaoita wenzao wajuaji wana insecurities.
 
tatizo watu wengi wanashindwa kutofautisha kujiamini (confidence) na ujuaji. Wanyakyusa wana asili ya kujiamini ambapo huletwa na uelewa. Sasa kwa wale waliokuwa na uelewa mdogo wanachukulia ni kujifanya mjuaji.

Hakuna kabila lenye watu humble na down to earth kama wanyakyusa. Ukiona Mnyakyusa anazungumzia jambo inamaanisha analijua vilivyo.
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani si tulikubaliana kwamba mwanamke chura, akili atatumia za mume. sasa unakimbiaje mnyaki au chura hanaaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…