Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Mkuu, ingekuwa hivo basi lazima na kwa Wasafwa wangekuwemo, hao ni Wandali waliohamia Unyakyusani ndio wakaleta hiyo shida ya uchawi uliokithiri.

Ushawahi kuwasikia "Wasangule"??
Mkuu huku kwetu umalila msangule ni mtu aliyefariki afu baadae anaonekana anaishi sehemu nyingine tena japo kwa miaka hii sisikii sana.
Ila for sure issue ya wala nyama za watu ni complex sababu nazijua baadhi ya koo za kimalila zinasemekana ni masalia ya wanyamanyafu.
 
Mkuu, ingekuwa hivo basi lazima na kwa Wasafwa wangekuwemo, hao ni Wandali waliohamia Unyakyusani ndio wakaleta hiyo shida ya uchawi uliokithiri.

Ushawahi kuwasikia "Wasangule"??
🤣😅
 
Japo siwafahamu ila jina la kabila limekaa kimafia
 
Wamanyanyafu wanaofanya vitu gani? Kwanini wanaogopwa sana?
 
Duh umewalipua.
 
Reactions: EEX
N

Kwa niaba ya Wanyiha, nasema sio kweli hizo sifa.
 
Naona kabila langu linashambuliwa
 
Hawa itakuwa ni viongozi wa chama fulani kule Kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…