MBAPPE
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 303
- 344
Mkuu huku kwetu umalila msangule ni mtu aliyefariki afu baadae anaonekana anaishi sehemu nyingine tena japo kwa miaka hii sisikii sana.Mkuu, ingekuwa hivo basi lazima na kwa Wasafwa wangekuwemo, hao ni Wandali waliohamia Unyakyusani ndio wakaleta hiyo shida ya uchawi uliokithiri.
Ushawahi kuwasikia "Wasangule"??
Ila for sure issue ya wala nyama za watu ni complex sababu nazijua baadhi ya koo za kimalila zinasemekana ni masalia ya wanyamanyafu.