Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

Cement elfu 30 mkoa gani mkuu?

Hatari sana aisee UZURI NAMBA TUNASOMA WOTE
 
Cement Kwa sasa Tanzania uhitaji ni mkubwa sana sababu miradi mingi ya ujenzi na watu wengi wanafanya ujenzi.

Serikali inabidi kuingilia Kati kuzuia mfumuko wa bei na kusaidia viwanda viongeze uzalishaji zaidi.

Kwa sasa serikali inafanya kazi ya clearing kwenye material ya cement kupitia Tasac. Viwanda vinaagiza material ila bei ya ku clear ipo juu hivyo wao wanaongeza bei Kwa mtumiaji wa mwisho maana ni sehemu ya gharama za uzalishaji.

Kama serikali itapunguza tozo kidogo hata Kwa kipindi cha miezi 6 Kuangalia matokeo yatakayo kuja kuanzia waagizaji, uzalishaji na bei ya mfuko wa cement Kwa mtumiaji wa mwisho. Pia itasaidia viwanda vya cement saizi ya kati kuagiza wenyewe meli ya material ya cement (clinker) na uzalishaji kuwa mkubwa.
 
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Na bado...
 
Vi wonder..... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Kama hukujenga enzi za JK hutajenga tena..
 
Mfumuko wa bei
 

Attachments

  • FB_IMG_1604899912193.jpg
    FB_IMG_1604899912193.jpg
    50.4 KB · Views: 2
Hizo ndio bei za ULAYA sasa , tushafika ULAYA . Naiona NEWYORK hiyoo [emoji122] [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom