Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Uzuri 2080 mimi naww wote tutakuwa hatupo duniani..
Waiter leta mzinga!!!
 
Kila kitu kina utaratibu wake . nakunywa pombe tena kali over 30 years now
 
kunywa pombe kama maji wewe! acha uoga. hapa hakuna aliekuja kuilinda dunia, kila mtu afanye $TAREHE na ANA$A anayoipenda.
 
Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Hata wale wa kariakoo kuna ambao hawajawahi kunywa hata juice za kopo achilia mbali pombe na yawezekana wengine ni mabikra hawajawahi kutiana ila wamekufa, ndungu maisha ni fumbo na hayana kanuni, unaweza dhani unalinda ini lako kwa kuto kunywa pombe ukaja kufa kwa homa ya ini.
 
Muda Fulani msongo na kukata tamaa ya kufanikiwa zaidi hupelekea Hali hizo, but Mimi binafsi kuacha pombe kazi ipo, nahofia kopoteza kundi kubwa la marafiki




Mhhh we jamaa noma
Unajua, tunatakiwa twende kwa data..!! Watu wanashupaa kutangaza madhara ya pombe, wakati madhara hayo hayo wasiokunywa pombe yanawapata pia..!!
 
Mleta mada ana haki ya kusikilizwa yeye anatoa tadhari tu.
Tatizo lililopo ni lishe.Mtu anakunywa pombe kali sana hajui mchana atakula chakula gani na cha aina gani mchana.
Hivi kuna nchi inatumia pombe kali kama Urusi? na Vodka yao.
Wenzetu kabla ya kunywa unakuta amekula turkey au tuseme bata mzinga na akinywa anakunywa kwa toti kidogo.
Sisi huku bongo mtu anapiga valeur kama wewe unavyokunywa maji.
Serikali yetu tuishukuru kuliona hili wakapiga marufuku viroba japo vijana wamegundua vile vichupa vidogo.
 
Matajiri unaowazungumzia no hawa wakina Lugumi tunaokesha nao kwenye tungi au matajiri gan hao?
 
Kufa ni kufa tu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…