Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Inawezekana kabisa wanakufa sana lakini Serikali hairipoti idadi ya maambukizi mapya na idadi ya vifo pamoja na kuombwa kufanya hivyo na WHO..
achana na hzo data za wzara ya afya, vp kitaa unachotoka wamekufa wangapi...?
mm kitaani kwangu mpaka sasa sijaona aliyekufa kwa corona pamoja na kushinda sehemu zenye mikusanyiko since gonjwa linasemekana kuingia
 
unataka niambia wote waliokufa kwa corona walikuwa hawavai barakoa...? sizan kama barakoa ndio inaweza kukuweka mbali na corona, afu msitutishe,mtuache tuishi maisha yetu
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine
Ungekuwa ukiambiwa kuna maralia unatishwa kusingekuwa na kuambiwa kuna Ugonjwa fulani acha kufananisha corona na magonjwa mengine kwa visingizio visivyo na tija, Tambua kuwa corona huua haraka na ndani ya mda mfupi imeleta maafa makubwa, kama huogopa corona acha kuvaa barakoa peke yako acha kuwashawishi watanzania wengine kuiga ujinga wako binafsi
 
Acha ujinga wewe! Wapi nilipokutisha? Kama huna la maana la kuandika pita kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.
ok mm n jua haswaaaa😇😇😇, ila nazan hujaelewa ulichoandika kwa mikono yako🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ungekuwa ukiambiwa kuna maralia unatishwa kusingekuwa na kuambiwa kuna Ugonjwa fulani acha kufananisha corona na magonjwa mengine kwa visingizio visivyo na tija, Tambua kuwa corona huua haraka na ndani ya mda mfupi imeleta maafa makubwa, kama huogopa corona acha kuvaa barakoa peke yako acha kuwashawishi watanzania wengine kuiga ujinga wako binafsi
cjawai na sontokuja vaa barakoa
 
achana na hzo data za wzara ya afya, vp kitaa unachotoka wamekufa wangapi...?
mm kitaani kwangu mpaka sasa sijaona aliyekufa kwa corona pamoja na kushinda sehemu zenye mikusanyiko since gonjwa linasemekana kuingia
Acha ubwege acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, Yaani kila anayekufa kwa Corona mtaani waje nyumbani kwako kukuarifu, upewe takwimu wewe binafsi kama nani? wewe hujaona kwa sababu ni mjinga na hakuna wa kukupa taarifa mtu mjinga kama wewe
 
Utakufa siku si nyingi kwa ujinga wako
😂😂😂😂kufa ntakufa lakin si kwa sababu ya corona,kwan kila kiumbe kitauonja umauti
ila hata ww utakufa tu, vaa sana hzo barakoa na utakufa tu
 
Magufuli walimpenda na kumwamini mana isingekua hivo wasingekubali kusongamana vile ku-risk maisha yao
Siyo kila aliyekwenda uwanja wa Uhuru alimpenda magufuli wengine wameenda kuthibitisha kama kafa kweli huku wengine wakienda kama mkumbo tu
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Tatizo ni kuwa waliaminishwa kuwa korona hakuna Tanzania kwakuwa Mungu ameiepusha Tanzania na korona. Hilo ndilo kosa
 
Kama wewe ni Mungu tutaona
Siyo Mungu ni nabii huyo. Mbona Lema alitoa unabii wakampinga na kumshitaki kisha kumrundika magereza sasa leo nini kimetokea? Manabii tupo wengi sema huwa hatusemi tu!
 
Tatizo ni kuwa waliaminishwa kuwa korona hakuna Tanzania kwakuwa Mungu ameiepusha Tanzania na korona. Hilo ndilo kosa
Ndiyo hata ukiangalia watu wa kawaida ndiyo wanaanguka na hawajavaa barakoa machozi kamasi mate yanawachoruzikia wale Asikari kuna maambukizi ya kutisha sana hapo uwanja wa Taifa
 
Back
Top Bottom